Posted on: October 14th, 2024
Hayo yameelezwa na Dkt. Charles Zakaria kwa niaba ya Mganga Mfawidhi wa Hospital ya Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga wakati akizungumzia ujio wa madaktari bingwa wa magonjwa ya akina mama na watoto ...
Posted on: October 13th, 2024
Msimamizi Msaidizi ngazi ya Halmashauri Bw. Joseph Ntomela akiambatana na Msimamizi Msaidizi ngazi ya Kata ya Iselamagazi Bw. Amos Chacha leo Oktoba 13, 2024 wametoa elimu ya mpiga kura kwa wakazi wa ...
Posted on: October 11th, 2024
Wasimamizi Wasaidizi wa uchaguzi ngazi ya Halmashauri Bw. Dhulkifl Sungura na Bw. Damian Ndassa wametoa wito kwa wanafunzi wenye sifa kujiandikisha kwenye Daftari la Wapiga Kura ili wawe na sifa...