Posted on: February 25th, 2024
Kamati ya Siasa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Shinyanga Vijijini chini ya Mwenyekiti wake Ndg. Edward Ngelela Februari 23, 2024 imefanya ziara ya ukaguzi wa miradi ya maende...
Posted on: February 22nd, 2024
Kamati ya Siasa ya Mkoa wa Shinyanga imefanya ziara ya kutembelea miradi minne ya maendeleo inayotekelezwa katika Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga kwalengo la kukagua nakujionea hatua za uteke...
Posted on: February 22nd, 2024
Wafugaji Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga wametakiwa kutumia majosho kuogesha mifugo yao ikiwa ni njia ya kuzuia wadudu waharibifu na magonjwa ya mifugo ili kuwa na mifugo yenye afya bora. Kauli hiy...