• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Government Web Framework
Government Web Framework

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mwongozo wa Tovuti za Serikali

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Maendeleo, Ustawi wa Jamii na Vijana
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maji
      • Mipango, Ufuatiliaji na Takwimu
      • Afya
      • Usafi na Manzingira
      • Fedha na Biashara
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Land and Natural Resources
    • Vitengo
      • Teknolojia, Habari, Mawasiliano na uhusiano
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Sheria
      • Nyuki na Misitu
      • Uchaguzi
      • Manunuzi na Ugavi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Viwanda
    • Madini
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Kamati ya Fedha na Mipango
      • Kamati ya Masuala ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Elimu , Afya na Maji
    • Ratiba ya Vikao vya Kisheria
      • Kuonana na Mwenyekiti
    • Ratiba ya kuonana na Mwenyekiti
    • Madiwani wa Kuchaguliwa
    • Madiwani wa Kuteuliwa
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Fomu
    • Majarida
    • Mpango Mkakati
  • Kituo cha Habari
    • Kanzi Data ya Picha
    • Hotuba
    • Habari
    • Video

KAMATI YA SIASA WILAYA YAPONGEZA USIMAMIZI WA MIRADI YA MAENDELEO HALMASHAURI YA WILAYA YA SHINYANGA

Posted on: February 25th, 2024

Kamati ya Siasa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Shinyanga Vijijini chini ya Mwenyekiti wake Ndg. Edward Ngelela  Februari  23, 2024  imefanya ziara ya ukaguzi wa miradi ya maendeleo ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa ilani ya Chama  katika Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga.


 Ziara hiyo ya Kamati ya Siasa Wilaya ya Shinyanga Vijijini imehusisha viongozi mbalimbali wa kisiasa wa Chama Cha Mapinduzi ngazi ya Wilaya, Kamati ya Usalama ya Wilaya ikiongozwa na Mkuu wa Wilaya pamoja na Wakuu wa Divisheni na Vitengo (Wataalamu) kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga.


Miradi iliyotembelewa na Kamati hiyo ni pamoja na ujenzi wa Zahanati Kata ya Isela, Ujenzi wa Bwawa la maji la Nyida, Ujezi wa Shule mpya ya Sekondari ya Puni na mradi wa vyumba viwili vya madarasa vya wanafunzi wa Awali Shule ya Msingi Ihalo.


Akiongea wakati wa ziara hiyo Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Shinyanga Vijijini, Ngelela amesema “Niwapongeze wataalamu wa Halmashauri kwa usimamizi mzuri wa miradi kwani mmehakikisha fedha mlizozipokea zinatekeleza miradi kwa ufanisi na uweledi hivyo nimuagize Mkuu wa Wilaya, Mkurugenzi pamoja na wataalamu wa Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga kuhakikisha mnawalipa wakandarasi kwa wakati na ikitokea Makandarasi anasua sua achukuliwe hatua ili miradi ikamilike kwa wakati uliopangwa."


Aidha, wakati wa ukaguzi wa mradi wa ujenzi wa shule ya sekondari ya Puni, Mwenyekiti wa CCM Wilaya amewataka Wataalam  wa Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga  kutekeleza miradi kwa viwango vya juu. Pia kuhakikisha miradi ya zamani na mipya inakamilika kwa wakati.


 

Kwa upande wake Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga,  Mhe. Johari  Samizi  amemshukuru Mwenyeki wa  Kamati ya Siasa Wilaya ya Shinyanga Vijijini kwa ziara aliyoifanya huku akimhakikishia kutekeleza yote aliyoyaagiza.


Aidha Kamati imeipongeza Serikali chini ya Rais Dokta Samia Suluhu Hassan kwa kuleta miradi mingi ya maendeleo katika Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga ili kuboresha utoaji huduma kwa Wananchi.


Akihitimisha Ziara hiyo Mwenyekiti wa CCM Wilaya amesema kuwa Miradi yenye changamoto ifanyiwe kazi ili ikamilike kwa wakati na kwa ubora unaotakiwa ili Wananchi wapate huduma stahiki.


Kamati ya Siasa ya Wilaya ikikagua  Mradi wa ujenzi wa zahanati Kata ya Isela.


Mwonekano wa sasa wa Jengo la Zahanati ya Isela


Kamati ikikagua chumba cha Maabara Shule ya Sekondari Puni


Mwonekano wa Baadhi ya Vyumba vya Madarasa Shule ya Sekondali Puni


Ziara ya Kamati ya Siasa katika Mradi wa ujenzi  wa Bwala la Maji Nyida

Ukaguzi wa vyumba vya madarasa vya Elimu ya Awali Shule ya Msingi Ihalo.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI April 09, 2024
  • MATOKEO YA USAILI WA KUANDIKA ( MCHUJO) KADA YA DEREVA DARAJA LA II April 15, 2024
  • MATOKEO YA USAILI WA KUANDIKA KADA YA MTENDAJI WA KIJIJI DARAJA LA TATU April 17, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI April 19, 2024
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • MITI 1000 YAPANDWA KATA YA SALAWE KATIKA MAADHIMISHO YA MIAKA 63 YA UHURU.

    December 09, 2024
  • BABA BORA, SAUTI YA UMMA NA WANAWAKE VIONGOZI WAPATIWA VITENDEA KAZI

    November 15, 2024
  • WANADIDIA WAOMBWA KUJITOKEZA KWA WINGI NOVEMBA 27, KUPIGA KURA

    November 15, 2024
  • MASHINE YA X-RAY MBIONI KUFIKA KITUO CHA AFYA TINDE

    November 15, 2024
  • Tazama zote

Video

wiki ya maji
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Dira na Dhamira
  • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
  • Muundo wa Taasisi
  • Muundo wa Taasisi
  • Video mbali mbali
  • Historia
  • Fomu ya Likizo
  • Leseni ya Makazi
  • Fomu ya Mkazi wa Ardhi kulipwa fidia

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tamisemi
  • ofisi ya taifa ya takwimu (NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Government Web Framework

Wasiliana nasi

    NIndo - Iselamagazi

    Anuani ya posta: 113 Shinyanga

    Simu: 0282-986382

    Simu: 0282-986382

    Baruapepe za watumishi: info@shinyangadc.go.tz/ded@shinyangadc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.