SHUGHULIZA IDARA MIFUGO NA UVUVI.
· Kusimamia tiba ya ya magonjwa ya Mifugo.
· Kusimamia kinga ya magonjwa ya mifugokama vile chanjo dhidi ya Ugonjwa waHoma ya Bonde la ufa, Kichaa cha Mbwa, Mdondo, Ugonjwa wa miguu na midomo(FMD)n.k
· Kusimamia afya ya mifugo inayotoka na kuingia Wilayani
Uendelezaji wa nyanda za malisho ya Mifugo
Kitengo hiki kinashughulika na:
· Kutoa ushauri wa kitaalamu juu yamatumizi na uboreshaji wa nyanda za malisho
· Kutoa ushauri kwa Serikali ya Vijijikuainisha maeneo yanayofaa kwa ufugaji wakati wa kuandaa mpango wa matumizibora ya ardhi vijijini.
· Kusimamia miundombinu ya mifugo.
Uzalishaji naUboreshaji wa Mifugo na mazao yake.
· Kusimamia uboreshaji wa mifugo ya asiliili kuleta tija kwa mfugaji. Katika kutekeleza majukumu yake jumla ya madumebora 27 aina ya Borani yalisambazwa kwa wafugaji wa Tarafa ya Ngerengere namatoke yake yameanza kuonekana.
· Kusimamia sheria ya ubora na usalama wamaziwa katika wilaya ili kuhakikisha mlaji anapata maziwa safi na salama.
·
Uvuvi.
Shughuli
· Kutoa elimu na ushauri wa kitaalamu juu ya uzalishaji samaki kwenye mabwawa.
· Kuhamasisha wananchi kuchimba mabwawa nakufuga samaki
ushauri na uelimishaji:
· Kuandaa mafunzo yote yanayohusina na mifugo na wafugaji katika Halmashauri
· Kutoa elimu na ushauri wa kitaalam kwawafugaji
· Kutoa taarifa za matokeo ya tafitimbalimbali za mifugo na hatua za kuchukua
NIndo - Iselamagazi
Anuani ya posta: 113 Shinyanga
Simu: 0282-986382
Simu: 0282-986382
Baruapepe za watumishi: info@shinyangadc.go.tz/ded@shinyangadc.go.tz
Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.