USAFINA MAZINGIRA
Idara ya usafi na Mazingira katika halmashauri yawilaya ya Shinyanga ilianzishwa rasmi Mwezi Januari, 2016. Idara inahusika namasuala yote ya hifadhi na usimamizi wa mazingira katika Halmashauri ya Wilayaya Morogoro.
Majukumu ya Idara hii ni pamoja na Kusimamia nakuitekeleza sera ya mazingira ya mwaka 1997 na sheria ya usimamizi wa mazingiraya Mwaka 2004; kuhamasisha jamii kuhusu hifadhi na usimamizi wa mazingira namaliasili; kukusanya, kuhifadhi na kufanyia kazi takwimu zote zinazohusiana nahifadhi na usimamizi wa mazingira na maliasili; kushiriki katika kuandaa nakusimamia sera na sheria ndogo za hifadhi za mazingira za Wilaya na mipango yahifadhi ya mazingira ya wilaya; kushiriki katika kuandaa na kusimamia mipangoya matumizi bora ya ardhi katika wilaya pamoja na shughuli zote za hifadhi naUsimamizi wa mazingira wilayani.
Mazingira ni mtambuka na inagusa Idara mbalimbalikatika kutekeleza majukumu yake, hivyo Idara inafanya kazi kwa kushirikiana naIdara zingine katika halmashauri.
Upandaji wa miti
Usafi wa Mazingira
NIndo - Iselamagazi
Anuani ya posta: 113 Shinyanga
Simu: 0282-986382
Simu: 0282-986382
Baruapepe za watumishi: info@shinyangadc.go.tz/ded@shinyangadc.go.tz
Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.