Posted on: April 13th, 2017
Afisa mazingira na udhibiti wa taka ngumu bw. Dani Daniel Chunga kutoka makao makuu ya Halmashauri akitoa elimu kwa wakazi wa kijiji cha Butini juu ya athari za mabadiliko ya tabia ya nchi...
Posted on: March 18th, 2017
Viongozi wa mamlaka za Serikali za Mitaa wametakiwa kutunga sheria ndogondogo kwa lengo la kuwabana wananchi wanaotumia maji ya kwenye madimbwi badala ya maji safi.
Agizo hilo limetolewa na Mkuu wa...