Posted on: March 31st, 2018
Ujenzi wa jengo la thearter hatua ya kufunga lenta katika kituo cha afya Tinde
Ujenzi wa jengo la martenity ward hatua ya upauaji katika kituo cha afya Tinde
Jengo la nyumba ya mtumi...
Posted on: December 5th, 2017
Ukaguzi wa ujenzi wa vyumba viwili vya maabara shule ya sekondari Pandagichiza katika kata ya Pandagichiza.Kutoka upande wa kushoto Mkurugenzi Mtendaji wa Wilaya Ndg. Bakari Mohaed Kasinyo ,katika...
Posted on: October 25th, 2017
Kamati ya Fedha ,Uongozi na Mipango ilifanya ziara ya ukaguzi wa kawaida wa miradi ya maendeleo tarehe 19 oktoba , 2017 kuona hali halisi ya utekelezaji na fedha zilizopokelewa kutekeleza miradi hiyo....