Posted on: August 12th, 2024
Mradi wa Klabu ya Wapinga Rushwa wenye thamani ya shilingi 400,000 kutoka mapato ya ndani ya Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga umezinduliwa na Mwenge was Uhuru 2024.
Akizundua Klabu hio N...
Posted on: August 12th, 2024
Mwenge wa Uhuru umekagua Mradi wa Uhifadhi wa mazingira Shule ya Awali na Msingi Ng’wang’osha wenye thamani shilingi 3,800,000, ambapo kiasi cha fedha shilingi 800,000 kimetokana na mapato ya ndani ya...
Posted on: August 12th, 2024
Kiongozi wa mbio za Mwenge kitaifa Ndg. Godfrey Mnzava amefungua vyumba vitatu vya madarasa katika Shule ya Sekondari Solwa B wakati Mwenge wa Uhuru ulipotembelea mradi huo Agosti 12, 2024.
...