Wahudumu wa afya katika vituo mbalimbali vya afya vya Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga
wanaendelea kutoa matone ya Vitamini A na dawa za minyoo kwa watoto wa umri wa kuanzia miezi 6
hadi 59. Zoezi hilo limeanza tarehe 01 Juni 2024 na litamalizika tarehe 30 Juni, 2024.
NIndo - Iselamagazi
Anuani ya posta: 113 Shinyanga
Simu: 0282-986382
Simu: 0282-986382
Baruapepe za watumishi: info@shinyangadc.go.tz/ded@shinyangadc.go.tz
Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.