Posted on: October 25th, 2017
Kamati ya Fedha ,Uongozi na Mipango ilifanya ziara ya ukaguzi wa kawaida wa miradi ya maendeleo tarehe 19 oktoba , 2017 kuona hali halisi ya utekelezaji na fedha zilizopokelewa kutekeleza miradi hiyo....
Posted on: September 28th, 2017
Mkurugenzi wa Wilaya amefungua mafunzo ya mfumo wa kielektroniki wa Mipango na Bajet (Planrep) pamoja na mfumo wa uhasibu na utoaji taarifa unaojulikana kwa Kiingereza kama (FFARS -...
Posted on: August 30th, 2017
Kikao cha kamati ya Lishe ya Wilaya ya Shinyanga kilichofanyika katika ukummbi wa Halmashauri kilichokuwa na lengo la kupitia utekelezaji wa mpango na Bajeti za Lishe za mwaka 2016/2017.
Kaimu ...