Zoezi la wiki ya chanjo kitaifa lililofanyikia katika zahanati ya mwajiji iliyopo kata ya Lyabusalu. Pichani kulia ni ndg Bashiri Salum na upande wa kushoto ndg Peter Masanyiwa wataalam kutoka idara ya Afya wakifanya usajili wa kadi za watoto na kuwaandikia aina za chanjo anazotakiwa kupata mtoto kulingana na umri wake.
NIndo - Iselamagazi
Anuani ya posta: 113 Shinyanga
Simu: 0282-986382
Simu: 0282-986382
Baruapepe za watumishi: info@shinyangadc.go.tz/ded@shinyangadc.go.tz
Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.