MKurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga BI. Hoja Mahiba Leo Tarehe 12.03.2021 Amefunguwa Semina ya Siku mbili kwa Waheshimiwa Madiwani ambao ni Wajumbe wa Kamati ya Maadili ya Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga.
Akitowa Mada kwenye Semina hiyo, Mtaalam wa Kwanza kutoka Tume ya Maadili Alisisitiza Umuhimu na Majukumu ya Kamati ya Maadili ya Madiwani. Akiwakumbusha Majukumu matatu Makuu ya Kamati ya Maadili kuwa ni:
Alisisitiza Mambo Mengi kwa Waheshimiwa Madiwani lakini akitilia Msisitizo kuwa ni Kamati mbili tu ndio zinapaswa kusikiliza Malalamiko ya uvujifu wa Maadili kwa Viongozi yaani ile ya Kamati ya Maadili ya Madiwani kwa migogoro yote ya Waheshimiwa Madiwani ama Mgogoro kati ya Mheshimiwa Diwani na Watumishi, na ile Kamati ya Uadilifu ya Watumishi inayoshughulikia makosa ya Watumishi. Aliwasisitiza Waheshimiwa Madiwani kuzitumia Kamati kusaidia Kupunguza utovuwa nidhamu kwa Viongozi nawatumishi wanapotekeleza Majukumu yao ya Kila siku.
Kwa Siku hii ya Kwanza ya Mafunzo, Mtoa Mada wa Pili kutoka Tume ya Maadili ya Viongozi Alisistiza sana Kuwafundisha Waheshimiwa Madiwani juu ya KANUNI KUHUSU MAADILI YA MADIWANI. ambazo kImsingi Alisema zinazingatia tafuatayo:
Akihitimisha Kanuni kuhusu Maadili ya Madiwani Alisisitiza kuwa:
Mafunzo hayo Yaliahirishwa kwa Maswali na Majibu na MKurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga aliyaahirisha Mafunzo hayo saa 9 Alasiri huku akiwasisitiza Waheshimiwa Madiwani na Wawezeshaji kuhakikisha wanafika kwa Wakati kama Walivofanya leo ili Mada zilizoandaliwa zitolewe na kuisha kwa wakati.
NIndo - Iselamagazi
Anuani ya posta: 113 Shinyanga
Simu: 0282-986382
Simu: 0282-986382
Baruapepe za watumishi: info@shinyangadc.go.tz/ded@shinyangadc.go.tz
Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.