Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga, Dkt. Kalekwa Kasanga amekabidhiwa rasmi Ofisi ya
Mkurugenzi Mtendaji na aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa halmashauri hiyo Bw. Kisena Mabuba kufuatia
mabadiliko ya viongozi yaliyofanywa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe.Dkt. Samia Suluhu
Hassan Juni 06, 2024.
Makabidhiano hayo yamefanyika leo Juni 19, 2024 mbele ya Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga
Mhe. Ngassa Mboje , Madiwani, Wakuu wa Divisheni na Vitengo wa Halmashauri katika ukumbi wa mikutano wa
halmashauri uliopo Iselemagazi .
NIndo - Iselamagazi
Anuani ya posta: 113 Shinyanga
Simu: 0282-986382
Simu: 0282-986382
Baruapepe za watumishi: info@shinyangadc.go.tz/ded@shinyangadc.go.tz
Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.