• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Government Web Framework
Government Web Framework

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mwongozo wa Tovuti za Serikali

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Maendeleo, Ustawi wa Jamii na Vijana
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maji
      • Mipango, Ufuatiliaji na Takwimu
      • Afya
      • Usafi na Manzingira
      • Fedha na Biashara
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Land and Natural Resources
    • Vitengo
      • Teknolojia, Habari, Mawasiliano na uhusiano
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Sheria
      • Nyuki na Misitu
      • Uchaguzi
      • Manunuzi na Ugavi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Viwanda
    • Madini
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Kamati ya Fedha na Mipango
      • Kamati ya Masuala ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Elimu , Afya na Maji
    • Ratiba ya Vikao vya Kisheria
      • Kuonana na Mwenyekiti
    • Ratiba ya kuonana na Mwenyekiti
    • Madiwani wa Kuchaguliwa
    • Madiwani wa Kuteuliwa
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Fomu
    • Majarida
    • Mpango Mkakati
  • Kituo cha Habari
    • Kanzi Data ya Picha
    • Hotuba
    • Habari
    • Video

MABUBA AZIPONGEZA TIMU ZA SIMBA NA YANGA, ASEMA KIWANGO CHA MPIRA TANZANIA KIMEPANDa

Posted on: March 15th, 2024

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Sinyanga Ndg. Kisena Mabuba ametoa pongezi kwa timu za Simba na Yanga kwa kiwango cha uchezaji wa mpira wanachokionyesha  kwa sasa. Hayo ameyasema leo Machi 15,2024 wakati wa hafla ya kukabidhi mipira 200 kwa shule 20 za Halmashauri  ya wilaya hiyo iliyofanyika katika shule ya Msingi Iselemagazi. Mpira hiyo imetolewa na Shirikisho la MpirawaMiguu Tanzania (TFF)  kupitia mradi wake wenye lengo  la  kukuza vipaji shuleni kwa  wanafunzi wenye umri wa miaka mitano hadi 12.


“....kwa sasa hivi Tanzania ndugu zangu kiwango cha soka kimepanda....., haijawahi kutokea katika historia ya soka nchini, timu mbili zinainga robo fainali,..... kuna watu wamewekeza,... nachukukua nafasi hii kuzipongeza timu zetu zinatuwakilisha vyema na tunazidi kuziombea na tuna imani mwaka huu tunakwenda kushangaza dunia ” amesema


Akizungumzakatikahaflahiyo,Mabuba ameishukuru TFF kwa programu ambayo inayoendelea nchini ya kuwezeshashule kupata mipira na kuwataka Wakuu wa Shule na Walimu wa MichezoKata kusimamia michezo shuleni ili kuinuavipajivyawanafunzikatika mchezo wa mpira wa miguu.


“.. nawasihi sana walimu wenzangu twendeni tukahimize michezo shuleni, tuibue vipaji na tutakapounda team yetu ya wilaya, tuiunde si kwa kupendelea na niwahimize twendeni tukapambane kwa kutumia vifaa hivi tulivyopewa ili tuinue viwango vya mpira nchini....” alisisitiza Mabuba.


Naye MwakilishiwaAfisa Elimu Awali naMsingi Halmashauri, Mwl.Philipo Lupagaroakizungumza kwa niaba ya Maafisa Elimu na Maafisa Michezo Kata amesema kuwa watatekeleza kwa vitendo maagizo ambayo yametolewa  na kupongeza Mkurugenzi kwa nia ya dhatianayoionyesha ya kupenda michezo.


Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Sinyanga

 Ndg. Kisena Mabuba akikabidhi mpira kwa Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi

 Mwamakaranga, mwl. Mohamedi Mbwambo.


.

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Sinyanga 

Ndg. Kisena Mabuba akikabidhi mpira kwa Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi

 St Maria Goreti, Sister Maria Magdalena Moses


Kaimu Afisa Elimu Msingi, Mwl. Philipo Lupagaro akizungumza wakati wa hafla

 ya kukabidhi mipira


Afisa Utamaduni wa Halmashauri, Bw. Joseph Bihemo Timoth akizungumza 

wakati wa hafla ya kukabidhi mipira



Baadhi ya Maafisa Elimu na Maafisa Michezo Kata wakifuatilia kwa makini 

wakati wa hafla ya kukabidhi  mipira

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI April 09, 2024
  • MATOKEO YA USAILI WA KUANDIKA ( MCHUJO) KADA YA DEREVA DARAJA LA II April 15, 2024
  • MATOKEO YA USAILI WA KUANDIKA KADA YA MTENDAJI WA KIJIJI DARAJA LA TATU April 17, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI April 19, 2024
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • MITI 1000 YAPANDWA KATA YA SALAWE KATIKA MAADHIMISHO YA MIAKA 63 YA UHURU.

    December 09, 2024
  • BABA BORA, SAUTI YA UMMA NA WANAWAKE VIONGOZI WAPATIWA VITENDEA KAZI

    November 15, 2024
  • WANADIDIA WAOMBWA KUJITOKEZA KWA WINGI NOVEMBA 27, KUPIGA KURA

    November 15, 2024
  • MASHINE YA X-RAY MBIONI KUFIKA KITUO CHA AFYA TINDE

    November 15, 2024
  • Tazama zote

Video

wiki ya maji
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Dira na Dhamira
  • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
  • Muundo wa Taasisi
  • Muundo wa Taasisi
  • Video mbali mbali
  • Historia
  • Fomu ya Likizo
  • Leseni ya Makazi
  • Fomu ya Mkazi wa Ardhi kulipwa fidia

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tamisemi
  • ofisi ya taifa ya takwimu (NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Government Web Framework

Wasiliana nasi

    NIndo - Iselamagazi

    Anuani ya posta: 113 Shinyanga

    Simu: 0282-986382

    Simu: 0282-986382

    Baruapepe za watumishi: info@shinyangadc.go.tz/ded@shinyangadc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.