• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Government Web Framework
Government Web Framework

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mwongozo wa Tovuti za Serikali

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Maendeleo, Ustawi wa Jamii na Vijana
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maji
      • Mipango, Ufuatiliaji na Takwimu
      • Afya
      • Usafi na Manzingira
      • Fedha na Biashara
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Land and Natural Resources
    • Vitengo
      • Teknolojia, Habari, Mawasiliano na uhusiano
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Sheria
      • Nyuki na Misitu
      • Uchaguzi
      • Manunuzi na Ugavi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Viwanda
    • Madini
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Kamati ya Fedha na Mipango
      • Kamati ya Masuala ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Elimu , Afya na Maji
    • Ratiba ya Vikao vya Kisheria
      • Kuonana na Mwenyekiti
    • Ratiba ya kuonana na Mwenyekiti
    • Madiwani wa Kuchaguliwa
    • Madiwani wa Kuteuliwa
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Fomu
    • Majarida
    • Mpango Mkakati
  • Kituo cha Habari
    • Kanzi Data ya Picha
    • Hotuba
    • Habari
    • Video

MAAFISA KILIMO NA WATENDAJI WA KATA WAAGIZWA KUSIMAMIA MFUMO WA STAKABADHI GHALANI

Posted on: February 20th, 2024

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga Bw. KisenaMabubaamewaagiza Maafisa Kilimo na Watendaji wa Kata kuhakikisha wanadhibiti utoroshaji wa mazao na kuimarisha mfumo wa stakabadhi ghalani  kwa kuwa dhamira ya Serikali ni kuona sekta ya kilimo inawanufaisha wakulima  na Serikali inapata ushuru.Hayo ameyasema leo Februari 19, 2023 katika kikao baina yake na Maafisa Kilimo,Maafisa Mifugo na Watendaji wa Kata  kilichofanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Halmashauri . Kikao kazi hicho kililengakujadili utekelezaji wa mfumo wa stakabadhi ghalani kwa mazao ya choroko na dengu

“Kwetu sisi mfumo wa stakabadhi ghalani utatusaidia sana katika ukusanyaji wa mapato, hatutakuwa na kukimbizana na malori yanayotoroka kwa sababu wakiuza na wakinunua mazao ,hela yetu inaingia moja kwa moja kwenye akaunti ya halmashauri”alisisitiza

Katika kuhakikisha kuwa utekelezaji wa mfumo wa stakabadhi ghalani unaanza mara moja,  Bw. Mabuba amewaagiza Mkuu wa Division ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi na  Afisa Ushirika kupitia vyama vya msingi vya ushirika (AMCOs) na maghala  yote ya kukusanyia mazao yaliyopo katika Halmashauri na kubaini changamoto zilizopo ili ziweze kutatuliwa haraka.

Matumizi ya mfumo wa stakabadhi ghalani  ni utekelezaji wa agizo la Serikali na maazimio ya wadau wa mazao ya mikunde katika mkoa wa Shinyanga waliokubaliana  kwa pamoja Februari 15,2025  kuwa mazao ya choroko nadengu yauzwe kwa  mfumo wa stakabadhi ghalani ili kumwinua  mkulima kiuchumi.  Mfumo huo utawezesha wakulima wa mazao ya choroko nadengukuwa na uhakika wa soko na kuuza mazao yao kwa bei yenye faida  na kuinuka kiuchumi pamoja na kuongeza uzalizaji wa mazao kwa tija na ubora zaidi.


Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga

 Bw.Kisena Mabuba akizungumza wakati wa kikao kazi na 

Maafisa Kilimo, Maafisa Mifugo na Watendaji Kata

Baadhi ya Maafisa Kilimo, Maafisa Mifugo na Watendaji Kata wakisikiliza

 kwa makini wakati wa kikao kazi.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI April 09, 2024
  • MATOKEO YA USAILI WA KUANDIKA ( MCHUJO) KADA YA DEREVA DARAJA LA II April 15, 2024
  • MATOKEO YA USAILI WA KUANDIKA KADA YA MTENDAJI WA KIJIJI DARAJA LA TATU April 17, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI April 19, 2024
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • MITI 1000 YAPANDWA KATA YA SALAWE KATIKA MAADHIMISHO YA MIAKA 63 YA UHURU.

    December 09, 2024
  • BABA BORA, SAUTI YA UMMA NA WANAWAKE VIONGOZI WAPATIWA VITENDEA KAZI

    November 15, 2024
  • WANADIDIA WAOMBWA KUJITOKEZA KWA WINGI NOVEMBA 27, KUPIGA KURA

    November 15, 2024
  • MASHINE YA X-RAY MBIONI KUFIKA KITUO CHA AFYA TINDE

    November 15, 2024
  • Tazama zote

Video

wiki ya maji
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Dira na Dhamira
  • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
  • Muundo wa Taasisi
  • Muundo wa Taasisi
  • Video mbali mbali
  • Historia
  • Fomu ya Likizo
  • Leseni ya Makazi
  • Fomu ya Mkazi wa Ardhi kulipwa fidia

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tamisemi
  • ofisi ya taifa ya takwimu (NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Government Web Framework

Wasiliana nasi

    NIndo - Iselamagazi

    Anuani ya posta: 113 Shinyanga

    Simu: 0282-986382

    Simu: 0282-986382

    Baruapepe za watumishi: info@shinyangadc.go.tz/ded@shinyangadc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.