• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Government Web Framework
Government Web Framework

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mwongozo wa Tovuti za Serikali

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Maendeleo, Ustawi wa Jamii na Vijana
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maji
      • Mipango, Ufuatiliaji na Takwimu
      • Afya
      • Usafi na Manzingira
      • Fedha na Biashara
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Land and Natural Resources
    • Vitengo
      • Teknolojia, Habari, Mawasiliano na uhusiano
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Sheria
      • Nyuki na Misitu
      • Uchaguzi
      • Manunuzi na Ugavi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Viwanda
    • Madini
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Kamati ya Fedha na Mipango
      • Kamati ya Masuala ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Elimu , Afya na Maji
    • Ratiba ya Vikao vya Kisheria
      • Kuonana na Mwenyekiti
    • Ratiba ya kuonana na Mwenyekiti
    • Madiwani wa Kuchaguliwa
    • Madiwani wa Kuteuliwa
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Fomu
    • Majarida
    • Mpango Mkakati
  • Kituo cha Habari
    • Kanzi Data ya Picha
    • Hotuba
    • Habari
    • Video

Maadhimisho yaa siku ya Wanawake Shinyanga Vijijini...Mbunge Azza awahimiza wanawake kugombea nafasi za uongozi

Posted on: March 11th, 2019

Mbunge wa viti maalumu mkoa wa Shinyanga Bi.Azza Hamad Hilal amewataka wanawake  mkoani hapa kujitokeza kwa wingi kugombea nafasi za uongozi kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa mwaka huu, pamoja na uchaguzi mkuu ujao.

Azza ameeleza hayo Machi 8, 2019 kwenye kilele cha maadhimisho ya siku ya wanawake duniani yaliyofanyika kiwilaya  kwenye kata ya Lyabukande halmashauri ya wilaya ya Shinyanga huku  mashirika mbalimbali yanayojishughulisha na shughuli mbalimbali za maendeleo zikiwemo kupinga ukatili dhidi ya wanawake pia yalishiriki.

Alisema wanawake wana uwezo mkubwa wa kuongoza jamii , na kutolea mfano Mama Samia Suluhu Hassan namna anavyochapa kazi katika kuwatumikia watanzania katika kutatua matatizo yao hivyo aliwataka wajitokeze kwa wingi kwenye uchaguzi wa mwaka huu wa Serikali za Mitaa kunia kugombea nafasi mbalimbali za uongozi.

"Halmashauri hii ya wilaya ya Shinyanga ina jumla ya vijiji 126 ,lakini viongozi wanawake ambao ji wenyeviti wapo wawili tu, hii ni aibu hivyo nawasihi wanawake wenzangu tujitokeze kwa wingi kuwania nafasi mbalimbali za uongozi kwenye uchaguzi wa mwaka huu na hata uchaguzi  mkuu ujao mwakani ,"amesema Azza.

Pia aliwataka wanaume kuwaunga mkono wanawake kwa kuwapigia kura hasa pale wanapomuona anafaa kuwa kiongozi bora , na kuondoa dhana ya mfume dume kwa kuwaona ni viumbe dhaifu na hatimaye kuacha kuwachagua.

Naye mwenyekiti wa halmashauri hiyo ya wilaya ya Shinyanga Ngassa Mboje , aliwataka wanaume kuacha tabia ya kunyanyasa wanawake , huku akiahidi halmashauri itaendele kutatua changamoto mbalmbali zinazowakabili wanawake ikiwemo na utoaji wa fedha  za mikopo kwa wingi.

Kwa upande wa risala ya wanawake wilayani ikisomwa na Lucy Fabian , ilitaja baadhi ya changamoto ambazo wanakabiliana nazo ,kuwa ni ukosefu wa fedha za mikopo ya kutosha ,kubakwa pamoja na kubaguliwa kwenye nafasi za za kuwania uongozi .

Aidha kauli mbiu ya mwaka huu ya maadhimisho ya siku ya wanawake duniani inasema"Badili fikra ili kufikia usawa wa kijinsia  kwa maendeleo endelevu"



Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI April 09, 2024
  • MATOKEO YA USAILI WA KUANDIKA ( MCHUJO) KADA YA DEREVA DARAJA LA II April 15, 2024
  • MATOKEO YA USAILI WA KUANDIKA KADA YA MTENDAJI WA KIJIJI DARAJA LA TATU April 17, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI April 19, 2024
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • MITI 1000 YAPANDWA KATA YA SALAWE KATIKA MAADHIMISHO YA MIAKA 63 YA UHURU.

    December 09, 2024
  • BABA BORA, SAUTI YA UMMA NA WANAWAKE VIONGOZI WAPATIWA VITENDEA KAZI

    November 15, 2024
  • WANADIDIA WAOMBWA KUJITOKEZA KWA WINGI NOVEMBA 27, KUPIGA KURA

    November 15, 2024
  • MASHINE YA X-RAY MBIONI KUFIKA KITUO CHA AFYA TINDE

    November 15, 2024
  • Tazama zote

Video

wiki ya maji
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Dira na Dhamira
  • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
  • Muundo wa Taasisi
  • Muundo wa Taasisi
  • Video mbali mbali
  • Historia
  • Fomu ya Likizo
  • Leseni ya Makazi
  • Fomu ya Mkazi wa Ardhi kulipwa fidia

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tamisemi
  • ofisi ya taifa ya takwimu (NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Government Web Framework

Wasiliana nasi

    NIndo - Iselamagazi

    Anuani ya posta: 113 Shinyanga

    Simu: 0282-986382

    Simu: 0282-986382

    Baruapepe za watumishi: info@shinyangadc.go.tz/ded@shinyangadc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.