• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Government Web Framework
Government Web Framework

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mwongozo wa Tovuti za Serikali

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Maendeleo, Ustawi wa Jamii na Vijana
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maji
      • Mipango, Ufuatiliaji na Takwimu
      • Afya
      • Usafi na Manzingira
      • Fedha na Biashara
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Land and Natural Resources
    • Vitengo
      • Teknolojia, Habari, Mawasiliano na uhusiano
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Sheria
      • Nyuki na Misitu
      • Uchaguzi
      • Manunuzi na Ugavi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Viwanda
    • Madini
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Kamati ya Fedha na Mipango
      • Kamati ya Masuala ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Elimu , Afya na Maji
    • Ratiba ya Vikao vya Kisheria
      • Kuonana na Mwenyekiti
    • Ratiba ya kuonana na Mwenyekiti
    • Madiwani wa Kuchaguliwa
    • Madiwani wa Kuteuliwa
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Fomu
    • Majarida
    • Mpango Mkakati
  • Kituo cha Habari
    • Kanzi Data ya Picha
    • Hotuba
    • Habari
    • Video

KAMATI YA FEDHA, UONGOZI NA MIPANGO HALMASHAURi YA WILAYA YA SHINYANGA YAFANYA ZIARA YA UKAGUZI WA MIRADI YA MAENDELEO

Posted on: February 21st, 2024

Kamati ya Fedha, Uongozi na Mipango ya Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga ikiongozwa na Mwenyekiti wa Halmashauri Mhe. Ngassa Mboje Februari 19, 2024 imefanya ziara ya kukagua miradi ya maendeleo kujionea uhalisia wa utekelezaji wake.


Miradi ya maendeleo iliyotembelewa ina thamani ya Sh.403,000,000.00. Miradi hiyo ni  ujenzi wa nyumba za Wakuu wa Divisheni uliopo makao makuu ya halmashauri katika Kata ya Iselamagazi wenye thamani ya Sh.390,000,000.00 na  mradi wa  kikundi cha vijana cha Umoja wa Bodaboda Iselamagazi) wenye thamani ya Sh. 13,000,000.00.


Akiongea wakati wa ukaguzi wa mradi wa ujenzi wa nyumba za Wakuu wa Divisheni, Mwekekiti wa kamati hiyo, Mhe Ngassa Mboja amehimiza wasimamizi wa mradi kuutekeleza kwa ufanisi mkubwa na kuongeza kasi ya ujenzi ili uweze kukamilika kwa wakati “Wahandisi wa Halmashauri wanaosimamia mradi wahakikishe mradi unatekelezwa kulingana na makisio ya gharama za ujenzi (BoQ) inavyoelekeza” alielekeza.


Aidha, kamati imewapongeza vijana wa kikundi cha Umoja wa Bodaboda Iselamagazi kwa kuweza kurejesha kiasi cha sh. 11500000 kati ya 13000000 walizo kopeshwa na halmashauri kupitia mkopo wa vijana unayotokana na mapato ya ndani. Pia kamati hiyo imetoa wito kwa vijana wengine kutumia fursa ya mikopo ya vijana inayotolewa na halmashauri ili waweze kujikwamua kiuchumi.


Akihitimisha ziara hiyo hiyo, Mhe. Mboje amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuendelea kutoa fedha kwa ajili ya miradi ambayo inayotekelezwa katika maeneo mbalimbali ya halmashauri ya wilaya ya Shinyanga. Vile vile ameiagiza timu ya Wataalamu wa Halmashauri kuhakikisha wanasimamia na kufanya ukaguzi wa mara kwa mara katika miradi na kuzingatia thamani ya fedha ili kuweza kuhakikisha tunamuunga mkono Mheshimiwa Rais kwa vitendo.


Wajumbe wa Kamati ya Fedha, Uongozi na Mipango wakisikiliza kwa makini 

kwa makini uwasilishwaji wa taarifa za mradi wa ujenzi wa Nyumba za Wakuu 

wa Divisheni.




Kamati ikifanya ukaguzi wa Mradi wa ujenzi wa nyumba za Wakuu wa 

 Divisheni na vitengo.

Muonekano wa moja ya nyumba za Wakuu wa Divisheni 

Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga Mhe. Ngassa Mboje 

akiongea na vijana wa Kikundi cha Umoja wa Bodaboda Iselamagazi.


Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI April 09, 2024
  • MATOKEO YA USAILI WA KUANDIKA ( MCHUJO) KADA YA DEREVA DARAJA LA II April 15, 2024
  • MATOKEO YA USAILI WA KUANDIKA KADA YA MTENDAJI WA KIJIJI DARAJA LA TATU April 17, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI April 19, 2024
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • MITI 1000 YAPANDWA KATA YA SALAWE KATIKA MAADHIMISHO YA MIAKA 63 YA UHURU.

    December 09, 2024
  • BABA BORA, SAUTI YA UMMA NA WANAWAKE VIONGOZI WAPATIWA VITENDEA KAZI

    November 15, 2024
  • WANADIDIA WAOMBWA KUJITOKEZA KWA WINGI NOVEMBA 27, KUPIGA KURA

    November 15, 2024
  • MASHINE YA X-RAY MBIONI KUFIKA KITUO CHA AFYA TINDE

    November 15, 2024
  • Tazama zote

Video

wiki ya maji
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Dira na Dhamira
  • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
  • Muundo wa Taasisi
  • Muundo wa Taasisi
  • Video mbali mbali
  • Historia
  • Fomu ya Likizo
  • Leseni ya Makazi
  • Fomu ya Mkazi wa Ardhi kulipwa fidia

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tamisemi
  • ofisi ya taifa ya takwimu (NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Government Web Framework

Wasiliana nasi

    NIndo - Iselamagazi

    Anuani ya posta: 113 Shinyanga

    Simu: 0282-986382

    Simu: 0282-986382

    Baruapepe za watumishi: info@shinyangadc.go.tz/ded@shinyangadc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.