Jamii imeaswa kuwa mstari wa mbele katika kuwalinda watoto wenye mahitaji maalum dhidi ya vitendo vya ukatili.
Rai hiyo imetolewa na Kiongozi wa mbio za Mwenge wa Uhuru kitaifa Ndg. Godfrey Mnzava wakati alipotembelea na kuweka jiwe la Msingi katika mradi wa ujenzi wa bweni la watoto wenye mahitaji maalum Shule ya Awali na Msingi ya Iselamaganzi.
Mradi huo umegharimu kiasi cha fedha shilingi milion 133, 174,000 na ukikamilika utawawezesha wanafunzi wenye mahitaji maalum kupata futsa ya kupata elimu muda wote wa masomo licha ya changamoto walizonazo
NIndo - Iselamagazi
Anuani ya posta: 113 Shinyanga
Simu: 0282-986382
Simu: 0282-986382
Baruapepe za watumishi: info@shinyangadc.go.tz/ded@shinyangadc.go.tz
Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.