• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Government Web Framework
Government Web Framework

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mwongozo wa Tovuti za Serikali

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Maendeleo, Ustawi wa Jamii na Vijana
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maji
      • Mipango, Ufuatiliaji na Takwimu
      • Afya
      • Usafi na Manzingira
      • Fedha na Biashara
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Land and Natural Resources
    • Vitengo
      • Teknolojia, Habari, Mawasiliano na uhusiano
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Sheria
      • Nyuki na Misitu
      • Uchaguzi
      • Manunuzi na Ugavi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Viwanda
    • Madini
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Kamati ya Fedha na Mipango
      • Kamati ya Masuala ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Elimu , Afya na Maji
    • Ratiba ya Vikao vya Kisheria
      • Kuonana na Mwenyekiti
    • Ratiba ya kuonana na Mwenyekiti
    • Madiwani wa Kuchaguliwa
    • Madiwani wa Kuteuliwa
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Fomu
    • Majarida
    • Mpango Mkakati
  • Kituo cha Habari
    • Kanzi Data ya Picha
    • Hotuba
    • Habari
    • Video

HALMASHAURI YA WILAYA YA SHINYANGA YAPONGEZWA KWA USIMAMIZI MZURI WA MRADI WA UJENZI WA JENGO LA UTAWALA NA MRADI WA NYUMBA ZA WAKUU WA DIVISHENI

Posted on: May 18th, 2024

Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Anamringi Macha  ameipongeza Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga kwa utekelezaji mzuri wa mradi wa ujenzi wa jengo   la utawala pamoja na ujenzi wa nyumba za Wakuu wa Divisheni.


Ametoa pongezi hizo Mei 17, 2024 akifanya ziara ya ya kukagua miradi ya maendeleo na kufanya kikao na Watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga.


 Mkuu wa Mkoa amekagua Miradi mitatu  ambayo ni  mradi wa ujenzi wa Kituo cha Afya Salawe kilichopo Kata ya Salawe na mradi wa ujenzi jengo la utawala  na ujenzi wa Nyumba za Wakuu wa Divisheni halmashauri ya wilaya ya shinyanga uliopo Kata ya Iselamagazi.


Akizungumza wakati wa ukaguzi wa mradi wa ujenzi wa jengo la utawala na Nyumba za Wakuu wa Divisheni,  Mhe. Macha  amekili kufurahishwa na  utekelezaji wa miradi hiyo Divisheni.


 “ Nakupongeza sana Mkurugenzi Mtendaji kwa usimamizi mzuri wa Mradi wa ujenzi wa jengo la utawala na Mradi wa nyumba za Wakuu wa Divisheni nimelizishwa na majengo haya hakikisha miradi hii inakamilika kwa wakati ili kuboresha utoaji huduma kwa Wnanchi.” Alisema Mhe.Macha.


Mhe. Macha ilihitimisha  Ziara hiyo kwa kufanya Kikao kazi na Watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga kilichofanyika katika ukumbi wa Halmashauri asisitiza uadilifu.


Mkuu wa Mkoa akikagua  mradi wa ujenzi wa jengo la utawala

 Mkuu wa Mkoa akipokea taarifa fupi ya mradi wa jengo la utawala kutoka

 kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri



Mkuu wa Mkoa akikagua  mradi wa ujenzi wa ujenzi wa Nyumba za 

Wakuu wa Divisheni 

muonekano wa jengo la utawala

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI April 09, 2024
  • MATOKEO YA USAILI WA KUANDIKA ( MCHUJO) KADA YA DEREVA DARAJA LA II April 15, 2024
  • MATOKEO YA USAILI WA KUANDIKA KADA YA MTENDAJI WA KIJIJI DARAJA LA TATU April 17, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI April 19, 2024
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • MITI 1000 YAPANDWA KATA YA SALAWE KATIKA MAADHIMISHO YA MIAKA 63 YA UHURU.

    December 09, 2024
  • BABA BORA, SAUTI YA UMMA NA WANAWAKE VIONGOZI WAPATIWA VITENDEA KAZI

    November 15, 2024
  • WANADIDIA WAOMBWA KUJITOKEZA KWA WINGI NOVEMBA 27, KUPIGA KURA

    November 15, 2024
  • MASHINE YA X-RAY MBIONI KUFIKA KITUO CHA AFYA TINDE

    November 15, 2024
  • Tazama zote

Video

wiki ya maji
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Dira na Dhamira
  • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
  • Muundo wa Taasisi
  • Muundo wa Taasisi
  • Video mbali mbali
  • Historia
  • Fomu ya Likizo
  • Leseni ya Makazi
  • Fomu ya Mkazi wa Ardhi kulipwa fidia

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tamisemi
  • ofisi ya taifa ya takwimu (NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Government Web Framework

Wasiliana nasi

    NIndo - Iselamagazi

    Anuani ya posta: 113 Shinyanga

    Simu: 0282-986382

    Simu: 0282-986382

    Baruapepe za watumishi: info@shinyangadc.go.tz/ded@shinyangadc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.