mkuu wa wilaya ya shinyanga mhe. Joharia samizi afanya ziara ya kukagua miradi ya maendeleo halmashauri ya wilaya ya shinyanga.
Katika ziara hiyo mkuu wa wilaya ameongozana na kamati ya usalama ya wilaya na wataalam wa halmashauri ya wilaya ya shinyanga wakiongozwa na kaimu mkurugenzi mtendaji ndg. David Rwazo.
Miradi iliyokaguliwa ni pamoja na vyumba vya madarasa na bweni la wanafunzi shule ya sekondari ya wasichana tinde, mradi wa upandaji miti shule ya sekondari kituli , ujenzi wa bwawa la maji nyida na ujenzi wa shule mpya ya sekondari puni.
Mhe. mkuu wa wilaya akikagua Bweni la wanafunzi Shule ya Wasichana Tinde
Ukaguzi wa ujenzi wa Shule mpya ya Sekondari Puni.
Mkuu wa wilaya akizungumza na Mkandarasi pamoja na Timu ya usimamizi wa Mradi wa ujenzi wa bwawa Nyida.
Ziara ya ukaguzi wa wa mradi wa upandaji Miti Shule ya Sekondari Kituli.
Mhe. Mkuu wa wilaya akizungumza na wasimamizi wa mradi wa ujenzi wa sekondari ya puni amewataka wasimamizi hao kuzingatia thamani ya mradi, viwango na ufanisi.
NIndo - Iselamagazi
Anuani ya posta: 113 Shinyanga
Simu: 0282-986382
Simu: 0282-986382
Baruapepe za watumishi: info@shinyangadc.go.tz/ded@shinyangadc.go.tz
Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.