Saturday 21st, December 2024
@Lyabukande
Maadhimisho ya siku ya wanawake duniani yatakayofanyika siku ya ijumaa tarehe 08.03.2019.Kwa ngazi ya Halmashauri maadhimisho hayo yatafanyikia katika kata ya Lyabukande.Mgeni Rasmi atakuwa Mbunge wa viti maalum mkoani Shinyanga Mhe.Azza Hamad .Mambo mbalimbali yatafanyika zikiwemo vikundi vya burudani,vikundi vya wanawake na shughuli zao,huduma za upimaji wa VVU kutoka mashirika ya CUAM na JAPAICO na sinema kutoka AGAPE na mashirika mengine yatashiriki siku hiyo.
NIndo - Iselamagazi
Anuani ya posta: 113 Shinyanga
Simu: 0282-986382
Simu: 0282-986382
Baruapepe za watumishi: info@shinyangadc.go.tz/ded@shinyangadc.go.tz
Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.