Monday 9th, September 2024
@Viwanja vya Shule ya Msingi kakola Halmashauri ya Wilaya ya Msalala
Wafanyakazi wa Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga wanatarajiwa kuungana na wafanyakazi wote duniani kuadhimisha Siku ya Wafanyakazi (May Day). Madhimisho hayo yatafanyika kimkoa katika eneo la Viwanja vya Shule ya Msingi kakola Halmashauri ya Wilaya ya Msalala Mkoani Shinyanga April, 01,2024.
Mgeni rasmi anatarajiwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga. Mhe. Anamringi Macha ambaye atatoa vyeti na zawadi kwa wafanyakazi hodari.
NIndo - Iselamagazi
Anuani ya posta: 113 Shinyanga
Simu: 0282-986382
Simu: 0282-986382
Baruapepe za watumishi: info@shinyangadc.go.tz/ded@shinyangadc.go.tz
Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.