Uhamasishaji wa Mfuko wa bima ya Jamii wa CHF (Community Health Fund), katika kata Itwangi, Didia, Samuye na Lyabusalu zilizopo wilaya Shinyanga vijiji .Zoezi hili lilifanyika kwa mda wa siku 14 katika vijiji vyote vya kata tajwa hapo juu.
Lengo la uhamasishaji kuwawezesha wakazi wote wa Shinyanga vijijini kujiunga na mfuko wa bima ya Afya iliyoboreshwa ili waweze kupata bima ya matibabu.
NIndo - Iselamagazi
Anuani ya posta: 113 Shinyanga
Simu: 0282-986382
Simu: 0282-986382
Baruapepe za watumishi: info@shinyangadc.go.tz/ded@shinyangadc.go.tz
Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.