• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Government Web Framework
Government Web Framework

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mwongozo wa Tovuti za Serikali

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Maendeleo, Ustawi wa Jamii na Vijana
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maji
      • Mipango, Ufuatiliaji na Takwimu
      • Afya
      • Usafi na Manzingira
      • Fedha na Biashara
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Land and Natural Resources
    • Vitengo
      • Teknolojia, Habari, Mawasiliano na uhusiano
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Sheria
      • Nyuki na Misitu
      • Uchaguzi
      • Manunuzi na Ugavi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Viwanda
    • Madini
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Kamati ya Fedha na Mipango
      • Kamati ya Masuala ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Elimu , Afya na Maji
    • Ratiba ya Vikao vya Kisheria
      • Kuonana na Mwenyekiti
    • Ratiba ya kuonana na Mwenyekiti
    • Madiwani wa Kuchaguliwa
    • Madiwani wa Kuteuliwa
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Fomu
    • Majarida
    • Mpango Mkakati
  • Kituo cha Habari
    • Kanzi Data ya Picha
    • Hotuba
    • Habari
    • Video

PROGRAM JUMUISHI YA TAIFA YA MALEZI,MAKUZI NA MAENDELEO YA AWALI YA MTOTO YAZINDULIWA HALMASHAURI YA WILAYA YA SHINYANGA

Posted on: February 8th, 2024

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga Ndg. Kisena Magena, amezindua rasmi programu Jumuishi ya Taifa ya Malezi, Makuzi, na Mendeleo ya Mtoto (PJT-MMMAM). Uzinduzi huo umefanyika Februari  08, 2024 katika ukumbi wa mikutano wa Halmashauri na kuhudhuriwa na Mwenyekiti wa Kamati ya Afya, Elimu na Maji ambaye pia ni Diwani wa Kata ya Iselamagazi, Mhe. Isack Sengerema na wadau wengine.


 Lengo la programu hii ni kutoa huduma jumuishi kwa watoto katika maeneo mbalimbali, ikiwa ni pamoja na afya, lishe, fursa za uwekezaji wa awali, malezi ya mwitikio pamoja na ulinzi na usalama kwa watoto wenye umri wa miaka sifuri hadi nane.


Akizungumza katika  uzinduzi huo,  Ndg. Mabuba alisema Programu hii ni juhudi muhimu za kuimarisha huduma za kijamii kwa watoto kuanzia umri wa miaka sifuri hadi nane. Programu hiyo pia inalenga kuhakikisha kuwa watoto wanapata fursa bora za makuzi na malezi, pamoja na ulinzi dhidi ya hatari zozote zinazoweza kuwakabili. Uzinduzi huu ni hatua muhimu katika kuhakikisha ustawi na maendeleo bora ya watoto katika Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga.


Aidha, Ndg. Mabuba amesisitiza kuwa ulinzi na usalama wa mtoto ni jukumu la kila mzazi kuhakikisha wanafichua  na kulipoti matukio ya vitendo vya ukatili wanavyofanyiwa watoto ili hatua kali ziweze chukuliwa dhidi ya watakaobainika kufanya vitendo hivyo.


Awali, akiwasilisha mada, Mratibu Afya, Uzazi na Watoto Mkoa wa Shinyanga, Bi. Halima Hamis amesema lengo kuu  la  uanzishaji wa Programu Jumuishi ya Malezi, Makuzi na Maendeleo ya  Awali ya Mtoto (PJT MMMAM) ni kuwa na uwekezaji  unaoratibiwa kwenye maeneo matano ya mfumo wa malezi jumuishi ambayo ni Afya Bora, Lishe, Malezi yenye Mwitikio, Fursa za Ujifunzaji wa Awali na Ulinzi na Usalama. Uwekezaji katika huduma za MMMAM huwasaidia Watoto kufikia upeo wa ukuaji timilifu lakini pia unaleta faida kiuchumi.


Naye Afisa Ustawi wa Jamii wa  Mkoa wa Shinyanga,  Bi. Lyidia Kwesigabo alieleza kuwa programu hiyo inahusisha watoto wa umri kuanzia 0-8 kwa sababu umri huo ndio kipindi ukuaji na ujifunzaji huchukua nafasi  kwa kiasi kikubwa kiakili, kimwili, kijamii na kihisia.

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga Ndg. Kisena 

Mabuba akizindua  programu Jumuishi ya Taifa ya Malezi, Makuzi na 

Mendeleo ya Mtoto.

Mratibu  wa Afya,  Uzazi na Mtoto wa  Mkoa wa Shinyanga, Bi Halima Hamis 

 akiwasilisha mada wakati wa uzinduzi.

Afisa Ustawi wa Jamii wa  Mkoa wa Shinyanga,  Bi. Lyidia Kwesigabo

akiwasilisha mada wakati wa uzinduzi

Washiriki wakisikiliza kwa makini mada wakati wa uzinduzi

Picha ya pamoja ya Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya

 Shinyanga Ndg. Kisena Mabuba (katikatika) na wadau kutoka Mashirika

 na Taasisi zinazojihusisha na masuala ya afya, lishe , ulinzi na usalama

 wa mtoto



Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI April 09, 2024
  • MATOKEO YA USAILI WA KUANDIKA ( MCHUJO) KADA YA DEREVA DARAJA LA II April 15, 2024
  • MATOKEO YA USAILI WA KUANDIKA KADA YA MTENDAJI WA KIJIJI DARAJA LA TATU April 17, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI April 19, 2024
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • MITI 1000 YAPANDWA KATA YA SALAWE KATIKA MAADHIMISHO YA MIAKA 63 YA UHURU.

    December 09, 2024
  • BABA BORA, SAUTI YA UMMA NA WANAWAKE VIONGOZI WAPATIWA VITENDEA KAZI

    November 15, 2024
  • WANADIDIA WAOMBWA KUJITOKEZA KWA WINGI NOVEMBA 27, KUPIGA KURA

    November 15, 2024
  • MASHINE YA X-RAY MBIONI KUFIKA KITUO CHA AFYA TINDE

    November 15, 2024
  • Tazama zote

Video

wiki ya maji
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Dira na Dhamira
  • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
  • Muundo wa Taasisi
  • Muundo wa Taasisi
  • Video mbali mbali
  • Historia
  • Fomu ya Likizo
  • Leseni ya Makazi
  • Fomu ya Mkazi wa Ardhi kulipwa fidia

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tamisemi
  • ofisi ya taifa ya takwimu (NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Government Web Framework

Wasiliana nasi

    NIndo - Iselamagazi

    Anuani ya posta: 113 Shinyanga

    Simu: 0282-986382

    Simu: 0282-986382

    Baruapepe za watumishi: info@shinyangadc.go.tz/ded@shinyangadc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.