• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Government Web Framework
Government Web Framework

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mwongozo wa Tovuti za Serikali

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Maendeleo, Ustawi wa Jamii na Vijana
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maji
      • Mipango, Ufuatiliaji na Takwimu
      • Afya
      • Usafi na Manzingira
      • Fedha na Biashara
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Land and Natural Resources
    • Vitengo
      • Teknolojia, Habari, Mawasiliano na uhusiano
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Sheria
      • Nyuki na Misitu
      • Uchaguzi
      • Manunuzi na Ugavi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Viwanda
    • Madini
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Kamati ya Fedha na Mipango
      • Kamati ya Masuala ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Elimu , Afya na Maji
    • Ratiba ya Vikao vya Kisheria
      • Kuonana na Mwenyekiti
    • Ratiba ya kuonana na Mwenyekiti
    • Madiwani wa Kuchaguliwa
    • Madiwani wa Kuteuliwa
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Fomu
    • Majarida
    • Mpango Mkakati
  • Kituo cha Habari
    • Kanzi Data ya Picha
    • Hotuba
    • Habari
    • Video

MAKABIDHIANO YA OFISI YA MKURUGENZI MTENDAJI WA HALMSHAURI YA WILAYA YA SHINYANGA

Posted on: September 21st, 2023

MAKABIDHIANO YA OFISI YA MKURUGENZI MTENDAJI WA HALMSHAURI YA WILAYA YA SHINYANGA.

Kufwatia mabadiliko yaliyofanywa Juni 7, 2023 na na Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania,  Dkt Samia Suluhu Hassan ya kuhamisha vituo vya kazi   Wakurugenzi wa Halmashauri kote Nchini leo Septemba 20, 2023.  Aliykuwa Mkurugenzi Mtendaji  wa Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga Dkt. Nice Munissy  amekadhi  Ofisi kwa Mkurugenzi mpya Ndg. Simon Berege.

Makabidhiano hayo yamfanyika katika Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri  yakishuhudiwa na Wakuu wa Divisheni na Vitengo pamoja na Watumishi mbalimbali wa Halmashauri.

Awali, wakati wa makabidhiano hayo aliekuwa Mkurugenzi Mtendaji  wa Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga  Dkt. Nice Munissy ametumia fursa hiyo kuwashukuru Watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga kwa ushirikiano mkubwa waliompatia kwa kipindi chote cha Miaka miwili alichodumu kama Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga.

“ Kwa kipindi tulichoshirikiana tumefanikiwa kupiga hatua  za pamoja za maendeleo zikiwemo, mafanikio ya ukusanyaji mzuri wa Mapato na Halmashauri kupata hati  safi. Kwa dhati ya moyo wangu na washukuru sana Watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga. Na mwenyenzi Mungu awabariki sana” Alisema Dkt. Nice Munissy.

Kwa upande wake Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri wa Wilaya ya Shinyanga Ndg. Simon Berege.  Ametumia nafasi  hiyo kumshukuru Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.  Suluhu Hassan kwa kuendelea kumuamini.

Aidha, Amempongeza Mkurugenzi Dkt Nice Munissy kwa usimamizi mzuri wa Miradi ya maendeleo na kuahidi kuendeleza pale alipoachia.

 Mkurugenzi Berege, amewaomba Watumishi kuendelea kumpa ushirikiano ili kwa pamoja kuleta maendeleo Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI April 09, 2024
  • MATOKEO YA USAILI WA KUANDIKA ( MCHUJO) KADA YA DEREVA DARAJA LA II April 15, 2024
  • MATOKEO YA USAILI WA KUANDIKA KADA YA MTENDAJI WA KIJIJI DARAJA LA TATU April 17, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI April 19, 2024
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • MITI 1000 YAPANDWA KATA YA SALAWE KATIKA MAADHIMISHO YA MIAKA 63 YA UHURU.

    December 09, 2024
  • BABA BORA, SAUTI YA UMMA NA WANAWAKE VIONGOZI WAPATIWA VITENDEA KAZI

    November 15, 2024
  • WANADIDIA WAOMBWA KUJITOKEZA KWA WINGI NOVEMBA 27, KUPIGA KURA

    November 15, 2024
  • MASHINE YA X-RAY MBIONI KUFIKA KITUO CHA AFYA TINDE

    November 15, 2024
  • Tazama zote

Video

wiki ya maji
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Dira na Dhamira
  • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
  • Muundo wa Taasisi
  • Muundo wa Taasisi
  • Video mbali mbali
  • Historia
  • Fomu ya Likizo
  • Leseni ya Makazi
  • Fomu ya Mkazi wa Ardhi kulipwa fidia

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tamisemi
  • ofisi ya taifa ya takwimu (NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Government Web Framework

Wasiliana nasi

    NIndo - Iselamagazi

    Anuani ya posta: 113 Shinyanga

    Simu: 0282-986382

    Simu: 0282-986382

    Baruapepe za watumishi: info@shinyangadc.go.tz/ded@shinyangadc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.