• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Government Web Framework
Government Web Framework

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mwongozo wa Tovuti za Serikali

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Maendeleo, Ustawi wa Jamii na Vijana
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maji
      • Mipango, Ufuatiliaji na Takwimu
      • Afya
      • Usafi na Manzingira
      • Fedha na Biashara
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Land and Natural Resources
    • Vitengo
      • Teknolojia, Habari, Mawasiliano na uhusiano
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Sheria
      • Nyuki na Misitu
      • Uchaguzi
      • Manunuzi na Ugavi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Viwanda
    • Madini
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Kamati ya Fedha na Mipango
      • Kamati ya Masuala ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Elimu , Afya na Maji
    • Ratiba ya Vikao vya Kisheria
      • Kuonana na Mwenyekiti
    • Ratiba ya kuonana na Mwenyekiti
    • Madiwani wa Kuchaguliwa
    • Madiwani wa Kuteuliwa
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Fomu
    • Majarida
    • Mpango Mkakati
  • Kituo cha Habari
    • Kanzi Data ya Picha
    • Hotuba
    • Habari
    • Video

MAAFISA ELIMU NA WATENDAJI WA KATA WASISITIZWA KUSIMAMIA WATOTO KWENDA SHULE

Posted on: February 6th, 2024

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga Ndg. Kisena Mabuba amewaagiza Maafisa Elimu na Watendaji wa Kata kuhakikisha kuwa watoto wote wanakwenda shule. Maagizo hayo yametolewa leo Februari 06, 2024 wakati wa kikao kazi baina yake na Maafisa Elimu na Watendaji wa Kata kilichofanyika katika Ukumbi wa mikutano wa Halmashauri uliopo Kata ya Iselamagazi.


Akizungumza katika kikao hicho Mabuba amesema halidhishwi na mwenendo wa kuripoti kwa wanafunzi wa kidato cha kwanza, darasa la kwanza na awali katika shule mbalimbali za Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga. “...mkafanye kazi kwa ushirikiano  kuhakikisha watoto  wote waliochaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza wanaripoti shule walizopangiwa na wale wenye umri wa kuandikishwa elimu ya awali na msingi wanaenda shule.” Amesisitiza Ndg Mabuba.


Aidha,  amepiga marufuku kwa watoto wenye umri wa kwenda shule kufanya kazi hususani muda wa masomo. Mkurugenzi huyo amesema viongozi hao wa kata wana wajibu wa kuwalinda watoto dhidi ya matendo ya kikatili ili kupunguza na kuondoa kabisa changamoto ya ndoa za utotoni na mimba katika umri mdogo.

 Maafisa Elimu na Watendaji wa kata hao wameaswa pia kufanya kazi ya kuwahudumia wananchi kwa weledi na kuzingatia maadili ya utumishi wa Umma akieleza kuwa uwazi na uwajibikaji ndio nguzo kuu ya utumishi.


Akizungumzia mapato na matumizi, Mkurugenzi Mabuba amewaagiza viongozi hao kuhakikisha kuwa wanafanya vikao na mikutano ya kisheria kwa kila robo ya mwaka. Mikutano hiyo itumike kama majukwaa ya  viongozi na wananchi kujadili taarifa za maendeleo ya kata na vijiji pamoja na kuwasomea taarifa za mapato ,miradi ya maendeleo na matumizi ya vijiji na kata.


"Mnayo dhamana ya kusimamia  ukusanyaji mapato katika kata zenu. Ni kinyume cha Sheria kukusanya fedha za Umma bila mashine ya 'POS' na kukaa na fedha za umma bila kuziweka Benki. Alisisitiza Ndg. Mabuba.


Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga Ndg. Kisena 

Mabuba akifungua kikao kazi cha Maafisa Elimu na watendaji wa Kata 

kilichofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Halmashauri uliopo Kata ya

 Iselamagazi February 06, 2024

Maafisa Elimu na Watendaji wa Kata wakimsikiliza Mkurugenzi Mtendaji wa 

Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga Ndg. Kisena Mabuba wakati wa kikao

 cha Mkurugenzi huyo na viongozi hao.

Baadhi ya Washiriki wakifuatilia kwa ukaribu wakati wa kikao cha Mkurugenzi

 Mtendaji wa Halmashauri na Maafisa Elimu na Watendaji wa Kata.

Baadhi ya Washiriki wakifuatilia kwa ukaribu wakati wa kikao cha Mkurugenzi

 Mtendaji wa Halmashauri na Maafisa Elimu na Watendaji wa Kata.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI April 09, 2024
  • MATOKEO YA USAILI WA KUANDIKA ( MCHUJO) KADA YA DEREVA DARAJA LA II April 15, 2024
  • MATOKEO YA USAILI WA KUANDIKA KADA YA MTENDAJI WA KIJIJI DARAJA LA TATU April 17, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI April 19, 2024
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • MITI 1000 YAPANDWA KATA YA SALAWE KATIKA MAADHIMISHO YA MIAKA 63 YA UHURU.

    December 09, 2024
  • BABA BORA, SAUTI YA UMMA NA WANAWAKE VIONGOZI WAPATIWA VITENDEA KAZI

    November 15, 2024
  • WANADIDIA WAOMBWA KUJITOKEZA KWA WINGI NOVEMBA 27, KUPIGA KURA

    November 15, 2024
  • MASHINE YA X-RAY MBIONI KUFIKA KITUO CHA AFYA TINDE

    November 15, 2024
  • Tazama zote

Video

wiki ya maji
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Dira na Dhamira
  • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
  • Muundo wa Taasisi
  • Muundo wa Taasisi
  • Video mbali mbali
  • Historia
  • Fomu ya Likizo
  • Leseni ya Makazi
  • Fomu ya Mkazi wa Ardhi kulipwa fidia

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tamisemi
  • ofisi ya taifa ya takwimu (NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Government Web Framework

Wasiliana nasi

    NIndo - Iselamagazi

    Anuani ya posta: 113 Shinyanga

    Simu: 0282-986382

    Simu: 0282-986382

    Baruapepe za watumishi: info@shinyangadc.go.tz/ded@shinyangadc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.