Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga imeadhimisha kilele cha siku ya mazingira duniani
leo Juni 05, 2024 kwa kutoa elimu ya uhifadhi wa mazingira kwa wakazi wa Kata ya
Mwakitlyo katika mkutano wa hadhara.
Wakati wa maadhjisho hayo, Wakazi wa Kata ya Mwakitolyo wamepatapia fursa ya
kuwasilisha kero zao kuhusu masuala ya mazingira na kupatiwa ufumbuzi wa kero zao.
Kauli mbiu kwa mwaka 2024 ni Urejeshwaji wa ardhi iliyoharibiwa na ustahimilivu wa hali
ya jangwa na ukame.
Afisa Mazingira kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga, Bw. Dani D. Chunga akitoa
elimu ya uhifadhi wa mazingira kwa wakazi wa Kata ya Mwakitolyo.
NIndo - Iselamagazi
Anuani ya posta: 113 Shinyanga
Simu: 0282-986382
Simu: 0282-986382
Baruapepe za watumishi: info@shinyangadc.go.tz/ded@shinyangadc.go.tz
Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.