• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Government Web Framework
Government Web Framework

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mwongozo wa Tovuti za Serikali

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Maendeleo, Ustawi wa Jamii na Vijana
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maji
      • Mipango, Ufuatiliaji na Takwimu
      • Afya
      • Usafi na Manzingira
      • Fedha na Biashara
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Land and Natural Resources
    • Vitengo
      • Teknolojia, Habari, Mawasiliano na uhusiano
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Sheria
      • Nyuki na Misitu
      • Uchaguzi
      • Manunuzi na Ugavi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Viwanda
    • Madini
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Kamati ya Fedha na Mipango
      • Kamati ya Masuala ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Elimu , Afya na Maji
    • Ratiba ya Vikao vya Kisheria
      • Kuonana na Mwenyekiti
    • Ratiba ya kuonana na Mwenyekiti
    • Madiwani wa Kuchaguliwa
    • Madiwani wa Kuteuliwa
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Fomu
    • Majarida
    • Mpango Mkakati
  • Kituo cha Habari
    • Kanzi Data ya Picha
    • Hotuba
    • Habari
    • Video

BARAZA LA WAFANYAKAZI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA SHINYANGA LAPOKEA NA KUJADILI RASIMU YA MPANGO NA BAJETI YA 2024/2025

Posted on: February 2nd, 2024

Wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi la Halmshauri ya Wilaya ya Sinyanga wamepokea, kupitia na kujadili mapendekezo yampango na  bajeti kwa mwaka wa fedha 2024/2025.  Mkutano wa Baraza hilo umefanyika leo Februari, 2024 katika wa ukumbi wa mikutano wa Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga na kuhudhuriwa na wawakilishi kutoka vyama mbalimbali vya wafanyakazi vikiwemo CWT,TUGHE, TALWGU , Divisheni na Vitengo  vya Halmashauri.

 Akifungua mkutano huo, kwa niaba ya Mwenyekiti wa Baraza la Wafanyakazi wa halmashauri ya wilaya ya Shinyanga, Mkuu wa Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa RasilimaliWatu wa Halmashauri, Bw. David Rwazo amewaeleza wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi  kuwa Halmashauri imeimarisha mazingira ya utendaji kazi kwa watumishi kwa kupandisha madaraja kwa wakati, kulipa madeni na kununua vitendaji kazi.

Pamoja na kupitia mapendekezo ya bajeti, wajumbe hao wamepokea na kupitia utekelezaji wa mpango wa bajeti ya mwaka wa fedha 2022/2023 na utekelezaji wa bajeti kwa kipindi cha nusu mwaka kwa Mwezi Julai hadi Disemba, 2023.

Aidha, Mwenyekiti wa Chama cha Walimu Mkoa  Bw. Mathias Balele ameupongeza uongozi wa Halmashauri ya Wilaya ya Sinyanga kwa jitihada inazozifanya katika kuhakikisha kuwa watumishi wake wanafanya kazi katika mazingira rafiki.

Mkutano wa Baraza la Wafanyakazi hufanyika kwa mujibu wa taratibu za utumishi wa Umma.

Wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi wa Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga 

wakiimba wimbowa Msikamano kabla ya kuanza mkutano wa Baraza

Mkuu wa Divisheni ya  Mipango na Uratibu wa Halmashauri

 ya Wilaya ya Shinyanga Bw. Mathew Kayanda 

akiwasilisha mapendekezo ya mpango na bajeti ya mwaka  2024/20245

wakati wa Baraza la Wafanyakazi wa halmashauri hiyo

Wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi wa Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga

 wakisikiliza kwa makini uwasilishwaji wa mpango na bajeti ya 2024/2025

Mwakilishi wa Chama cha Wafanyakazi TALWGU Bw.Budugu Kasuka

 akichangia wakati wa majadiliano ya mapendekezo mpango 

na bajeti ya mwaka 2024/2025

Mganga Mkuu wa Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga Dkt. Nuru Yunge 

akifafanua jambo wakati wa Mkutano wa Baraza la Wafanyakazi 

wa Halmashauri hiyo

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI April 09, 2024
  • MATOKEO YA USAILI WA KUANDIKA ( MCHUJO) KADA YA DEREVA DARAJA LA II April 15, 2024
  • MATOKEO YA USAILI WA KUANDIKA KADA YA MTENDAJI WA KIJIJI DARAJA LA TATU April 17, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI April 19, 2024
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • MITI 1000 YAPANDWA KATA YA SALAWE KATIKA MAADHIMISHO YA MIAKA 63 YA UHURU.

    December 09, 2024
  • BABA BORA, SAUTI YA UMMA NA WANAWAKE VIONGOZI WAPATIWA VITENDEA KAZI

    November 15, 2024
  • WANADIDIA WAOMBWA KUJITOKEZA KWA WINGI NOVEMBA 27, KUPIGA KURA

    November 15, 2024
  • MASHINE YA X-RAY MBIONI KUFIKA KITUO CHA AFYA TINDE

    November 15, 2024
  • Tazama zote

Video

wiki ya maji
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Dira na Dhamira
  • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
  • Muundo wa Taasisi
  • Muundo wa Taasisi
  • Video mbali mbali
  • Historia
  • Fomu ya Likizo
  • Leseni ya Makazi
  • Fomu ya Mkazi wa Ardhi kulipwa fidia

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tamisemi
  • ofisi ya taifa ya takwimu (NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Government Web Framework

Wasiliana nasi

    NIndo - Iselamagazi

    Anuani ya posta: 113 Shinyanga

    Simu: 0282-986382

    Simu: 0282-986382

    Baruapepe za watumishi: info@shinyangadc.go.tz/ded@shinyangadc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.