Kikao cha Baraza la Wafanyakazi Wilaya ya Shinyanga Leo kimepitisha Rasimu ya Bajeti ya Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga ya Mwaka 2022/2023.Jumla ya Bilioni 48.2 imepitishwa na kikao hicho kuwa Bajeti ya Wilaya hiyo.
Mkurugenzi Mtendaji wa Wilaya Bi.Nice R.Munissy amewakumbusha Uwajibikaji na weledi katika kazi watumishi na kuwataka kuwa mstari wa mbele kusimamia maendeleo.
Nice ameongea na watumishi kwenye kikao cha Baraza la Wafanyakazi kilichofanyika mapema Leo.
Amewataka watumishi kusimamia haki bila kusahau kanuni na Sheria za kazi.
NIndo - Iselamagazi
Anuani ya posta: 113 Shinyanga
Simu: 0282-986382
Simu: 0282-986382
Baruapepe za watumishi: info@shinyangadc.go.tz/ded@shinyangadc.go.tz
Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.