• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Shinyanga District Council
Shinyanga District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Maendeleo, Ustawi wa Jamii na Vijana
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maji
      • Mipango, Ufuatiliaji na Takwimu
      • Afya
      • Usafi na Manzingira
      • Fedha na Biashara
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Land and Natural Resources
    • Vitengo
      • Teknolojia, Habari, Mawasiliano na uhusiano
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Sheria
      • Nyuki na Misitu
      • Uchaguzi
      • Manunuzi na Ugavi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Viwanda
    • Madini
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Kamati ya Fedha na Mipango
      • Kamati ya Masuala ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Elimu , Afya na Maji
    • Ratiba ya Vikao vya Kisheria
      • Kuonana na Mwenyekiti
    • Ratiba ya kuonana na Mwenyekiti
    • Madiwani wa Kuchaguliwa
    • Madiwani wa Kuteuliwa
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Fomu
    • Majarida
    • Mpango Mkakati
  • Kituo cha Habari
    • Kanzi Data ya Picha
    • Hotuba
    • Habari
    • Video

Kupata hati ya malipo ya mshahara ( Salary Slip )

Kupata hati ya Malipo ya mshahara wa Mtumishi

Ili kupata hati ya malipo ya mshahara wako tafadhali fuata maelekezo yafuatayo:

Ikiwa ni mara yako ya kwanza kuingia katika mfumo huu unachotakiwa kufanya ni kujisajili katika mfumo wa Hati za Malipo ya Mshahara kwa kubofya neno JISAJILI kisha fanya mambo yafuatayo

1.Uwe na anuani ya Barua pepe. (barua pepe iwe yako binafsi siyo ya mtu mwingine)

 

2.Cheki namba.

3. Jisajili kwenye mfumo kwa kujaza fomu ya usajili iliyipo katika tovuti ya watumishi portal kwa kubofya JISAJILI

         i. ingiza barua pepe

        ii. ingiza cheki namba yako.

       iii. ingiza jina utakalopenda kutumia (user name).

       iv. ingiza neno la siri (password).

       v. Bofya JISAJILI

4. Ingiza tena barua pepe yako, cheki namba na nywila (password) kisha bofya ingia (sign in)

  Kwa maelezo zaidi BOFYA HAPA kisha fuata maelekezo

Matangazo

  • TANGAZO LA KAZI - AJIRA ZA MUDA USIMAMIZI WA MIRADI November 04, 2022
  • TANGAZO LA KAZI - AJIRA ZA MUDA USIMAMIZI WA MIRADI November 04, 2022
  • UPANGISHAJI WA MAJENGO YA OFISI NA NYUMBA ZA HALMASHAURI YA WILAYA YA SHINYANGA ZILIZOPO MANISPAA YA SHINYANGA July 02, 2020
  • TANGAZO MAPOKEZI YA FEDHA February 09, 2021
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • MKUTANO WA KAWAIDA WA BARAZA LA MADIWANI ROBO YA NNE 2022/2023

    August 10, 2023
  • WATENDAJI WA KATA HALMASHAURI YA WILAYA YA SHINYANGA WAHIMIZWA KUSIMAMIA UTEKELEZAJI WA MKATABA WA LISHE.

    August 02, 2023
  • HALMASHAURI YA WILAYA YA SHINYANGA YAPOKEA VIFAA TIBA KUTOKA BENKI YA NMB

    August 07, 2023
  • MKURUGENZI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA SHINYANGA AFANYA ZIARA YA UKAGUZI WA MIRADI

    July 01, 2023
  • Tazama zote

Video

wiki ya maji
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Dira na Dhamira
  • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
  • Muundo wa Taasisi
  • Video mbali mbali
  • Historia
  • Fomu ya Likizo
  • Leseni ya Makazi
  • Fomu ya Mkazi wa Ardhi kulipwa fidia

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tamisemi
  • ofisi ya taifa ya takwimu (NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    NIndo - Iselamagazi

    Anuani ya posta: 113 Shinyanga

    Simu: 0282-986382

    Simu: 0282-986382

    Baruapepe za watumishi: info@shinyangadc.go.tz/ded@shinyangadc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki©2018. Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga. Haki zote zimehifadhiwa