Saturday 21st, December 2024
@Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan , anatarajia kufanya ziara ya kikazi Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga katika kata ya Tinde na Samuye kwa lengo la kuongea na wananchi katika kata ya Tinde na kutembelea kituo cha afya Samuye.
"NYOOTE MNAKARIBISHWA"
NIndo - Iselamagazi
Anuani ya posta: 113 Shinyanga
Simu: 0282-986382
Simu: 0282-986382
Baruapepe za watumishi: info@shinyangadc.go.tz/ded@shinyangadc.go.tz
Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.