Saturday 21st, December 2024
@
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga anawatangazia wananchi wote kutuma maombi ya nafasi ya kukimbiza Mwenge kiwilaya ambapo mbio za Mwenge wa Uhuru 2019 ndani ya Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga utakimbizwa mwanzoni mwa mwezi wa tano.
VIGEZO KWA WAOMBAJI
KATIBU TAWALA (W),
S.L.P 359,
SHINYANGA.
Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 10/04/2019 saa 09:30 alasiri.
NB: Vigezo vilivyoainishwa kwenye tangazo hili visomwe kwa makini na vizingatiwe.
NIndo - Iselamagazi
Anuani ya posta: 113 Shinyanga
Simu: 0282-986382
Simu: 0282-986382
Baruapepe za watumishi: info@shinyangadc.go.tz/ded@shinyangadc.go.tz
Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.