MKURUGENZI MTENDAJI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA SHINYANGA BI. HOJA N. MAHIBA (PICHANI) ANAPENDA KUWATANGAZIA WANANCHI WOTE KWAMBA HALMASHAURI IMEPOKEA FEDHA ZA RUZUKU YA MATUMIZI YA KAWAIDA (OC) NA MAABARA SEKONDARI KIASI CHA SH. 326,500.00 KWA MWEZI JANUARY, 2021 KWA MCHANGANUO UFUATAO:
Tafadhali pakuwa hapa Tangazo Mapokezi ya Fedha.pdf kuweza kuona Mchanganuo na Tangazo hili.
NIndo - Iselamagazi
Anuani ya posta: 113 Shinyanga
Simu: 0282-986382
Simu: 0282-986382
Baruapepe za watumishi: info@shinyangadc.go.tz/ded@shinyangadc.go.tz
Hakimiliki©2018. Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga. Haki zote zimehifadhiwa