Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga anawatangazia Waombaji wliochaguiwa kwenye nafasi ya Ajira ya Muda kazi ya kukusanyataarifa na kuziingiza kwenye mfumo wa Anuani za Makazi kufika kwenye Mafunzo.
A). Siku ya Jumatatu Tarehe 28/03/2022 Mafunzo yatakuwa kwa wale wanaotokea Kata zifuatazo:
1. Mwalukwa, 2. Pandagichiza, 3. Nyamalogo. 4. Iselamagazi, 5. Lyabusalu, 6. Solwa. 7. Mwenge, 8. Mwakitolyo, 9. Mwantini, 10. Salawe 11. Lyabukande na 12. Bukene
MAHALA: Hospitali ya Wilaya ya Shinyanga (Iko Iselamagazi)
MUDA; kuanzia saa 2 Asubuhi.
B). Siku ya Jumanne Tarehe 29/03/2022 Mafunzo yatakuwa kwa wale wanaotokea Kata Zifuatazo:
13. Didia, 14. Tinde, 15. Nsalala, 16. Samuye, 17. Usanda, 18. Itwangi, 19. Lyamidati, 20. Nyida, 21. Puni, 22. Ilola, 23. Masengwa, 24. Usule, 25. Imesela na 26. Mwamala.
MAHALA: Hospitali ya Wilaya ya Shinyanga (Iko Iselamagazi)
MUDA; kuanzia saa 2 Asubuhi.
Kutakuwa na ukaguzi wa Simu kuangalia uwezo wa Simu na Betri, unashauriwa simu iwe na Data (Mbs) kwa ajili ya kuepuka Usumbufu. ataeshindwa kuja na simu yenye uwezo tajwa hapo juu, nafasi yake atapatiwa Mtu Mwengine.
Kupakuwa TANGAZO hili la Mkurugenzi, pakuwa hapa: TANGAZO KUITWA KWENYE MAFUNZO ANUANI ZA MAKAZI NA POSTIKODI.pdf
NIndo - Iselamagazi
Anuani ya posta: 113 Shinyanga
Simu: 0282-986382
Simu: 0282-986382
Baruapepe za watumishi: info@shinyangadc.go.tz/ded@shinyangadc.go.tz
Hakimiliki©2018. Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga. Haki zote zimehifadhiwa