Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga anapenda kuwataarifu waombaji wa ajira ya muda ya Anuani ya Makazi na Postikodi waliofanya Usaili tarehe 21.03.2022 kuwa Mchakato umekamilika.
Orodha ya Waombaji waliochaguliwa na kata walizotoka ni kama inavoonekana hapa pakuwa Tangazo la Kuitwa kwenye Usaili.pdf
Ambao Majina yao hayakuonekana katika Tangazo hili, watambuwe kuwa hawakupata Nafasi/hawakufaulu usaili, hivyo wasisiste kuomba wakati mwengine nafasi nyengine zitapotangazwa.
NIndo - Iselamagazi
Anuani ya posta: 113 Shinyanga
Simu: 0282-986382
Simu: 0282-986382
Baruapepe za watumishi: info@shinyangadc.go.tz/ded@shinyangadc.go.tz
Hakimiliki©2018. Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga. Haki zote zimehifadhiwa