• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Shinyanga District Council
Shinyanga District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Maendeleo, Ustawi wa Jamii na Vijana
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maji
      • Mipango, Ufuatiliaji na Takwimu
      • Afya
      • Usafi na Manzingira
      • Fedha na Biashara
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Land and Natural Resources
    • Vitengo
      • Teknolojia, Habari, Mawasiliano na uhusiano
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Sheria
      • Nyuki na Misitu
      • Uchaguzi
      • Manunuzi na Ugavi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Viwanda
    • Madini
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Kamati ya Fedha na Mipango
      • Kamati ya Masuala ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Elimu , Afya na Maji
    • Ratiba ya Vikao vya Kisheria
      • Kuonana na Mwenyekiti
    • Ratiba ya kuonana na Mwenyekiti
    • Madiwani wa Kuchaguliwa
    • Madiwani wa Kuteuliwa
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Fomu
    • Majarida
    • Mpango Mkakati
  • Kituo cha Habari
    • Kanzi Data ya Picha
    • Hotuba
    • Habari
    • Video

TANGAZO LA KAZI - AJIRA ZA MUDA USIMAMIZI WA MIRADI

04 November 2022

Mkurugenzi  Mtendaji  wa Halmashauri  ya Wilaya ya Shinyanga  anawatangazia watu wote wenye sifa ya kufanya kazi ya  Usimamizi   wa  Miradi  ya Ajira za Muda kwa walengwa wa Mpango wa Kunusuru  Kaya Maskini  (TASAF). Muombaji awe na vigezo vifuatazo;..

1.  Sifa za Mwombaji.

•   Ajue kusoma na kuandika

•    Awe na uwelewa /ujuzi unaothibitika  katika fani  za ufundi Sanifu (ujenzi/ukarabati  wa malambo,Ujenzi   na ukarabati  wa barabara,visima vya asili  na visima vifupi),  uhifadhi/usimamizi   wa Mazingira,   Ardhi na misitu

•     Utayari wa kusimamia viwango vya kazi zitakazofanyika  kwa kutumia teknolojia  ya nguvu kazi katika  miradi   ngazi ya jam ii;

•   Awe na uzoefu wa kazi ya usimamizi  wa shughuli  za kijamii;

•    Mwombaji aonyeshe/eleze kazi za mfano alizowahi  kuzifanya.

•      Kipaumbele   kitatolewa  kwa mwenyeji mwenye sifa kutoka katika  kijiji  husika au kijiji jirani.

•   Asiwe kiongozi wa Serikali  au Chama chochote.

•     Awe na  uelewa  wa msingi wa matumizi   ya teknolojia  ya upashanaji habari kwa njia ya kielekroniki   (Kishikwambi  au Simu janja)


"   2.  Uwajibikaji.

•    Msimamizi   wa Mradi ngazi  ya Kijiji   atachaguliwa   na  serikali  ya kijiji  kwa kuzingatia  mapendekezo yaliyotolewa na kamati ya usimamizi   wa mradi;

•   Atakuwa anawajibika   na kutoa taarifa kwa kamati ya usimamizi wa mradi.

3.  Kazi na Majukumu:

•    Kuwapangia walengwa kazi kwa kufuata  vipimo vya kazi vilivyoidhinishwa;

•     Kuchukua  orodha  ya mahudhurio   ya watu wanaofanyakazi   kwa kufuata mfumo ulioidhinishwa;

•    Kuhakiki  orodha ya vifaa,  vitendea kazi na malighafi  za ujenzi.

•     Kuandaa na kutunza orodha ya kila  siku kwa ajili  ya walengwa  wote walio kazini;

•     Kuandaa  na  kuwasilisha    taarifa  za  Wiki/Mwezi    kwa  kazi   inayoendelea kufanyika kwa kufuata Programu  ya utekelezaji  iliyopitishwa;

•    Kuandaa orodha ya walengwa  wote waliofanyakazi  na kuiwasilisha   kwa

Mratibu wa Mpango wa Wilaya kwa ajili ya kufanya  maandalizi   ya malipo;

•    Kushirikiana   na   wataalam  wa  kisekta   kuhakikisha kazi   zinafanyika   kwa

. .

ufanisi  na viwango vilivyowekwa  vinafikiwa.

4.   Eneo la Kazi;

•    Eneo la  kazi litakuwa  katika Kijiji/Kitongoji   mradi unapotekelezwa.

kwa Taarifa zaidi tafadhali pakuwa tangazo hilo hapa TANGAZO LA KAZI TASAF.pdf

Matangazo

  • TANGAZO LA KAZI - AJIRA ZA MUDA USIMAMIZI WA MIRADI November 04, 2022
  • TANGAZO LA KAZI - AJIRA ZA MUDA USIMAMIZI WA MIRADI November 04, 2022
  • UPANGISHAJI WA MAJENGO YA OFISI NA NYUMBA ZA HALMASHAURI YA WILAYA YA SHINYANGA ZILIZOPO MANISPAA YA SHINYANGA July 02, 2020
  • TANGAZO MAPOKEZI YA FEDHA February 09, 2021
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • MKUU WA WILAYA MPYA MHE. SAMIZI ATEMBELEA SHINYANGA DC, AZUNGUMZA NA WATENDAJI WA KATA NA KUHUDHURIA BARAZA LAKE LA KWANZA LA MADIWANI KUPITISHA RASIMU YA BAJETI YA HALMASHAURI YA WILAYA YA SHINYANGA

    February 02, 2023
  • BARAZA LA WAFANYAKAZI SHINYANGA DC LAPITISHA RASMI YA MPANGO NA BAJETI YA HALMASHAURI YA WILAYA YA SHINYANGA KWA MWAKA 2023/24

    January 31, 2023
  • BARAZA LA WAFANYAKAZI SHINYANGA DC LAPITISHA RASMI YA MPANGO NA BAJETI YA HALAMSHAURI YA WILAYA YA SHINYANGA KWA MWAKA 2023/24

    January 31, 2023
  • HALMASHAURI YA WILAYA YA SHINYANGA YAFANYA KIKAO CHAKE CHA KILA JUMATATU CHA WAKUU WA DIVISHENI NA VITENGO LEO 19.12.2022

    December 19, 2022
  • Tazama zote

Video

wiki ya maji
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Dira na Dhamira
  • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
  • Muundo wa Taasisi
  • Video mbali mbali
  • Historia
  • Fomu ya Likizo
  • Leseni ya Makazi
  • Fomu ya Mkazi wa Ardhi kulipwa fidia

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tamisemi
  • ofisi ya taifa ya takwimu (NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    NIndo - Iselamagazi

    Anuani ya posta: 113 Shinyanga

    Simu: 0282-986382

    Simu: 0282-986382

    Baruapepe za watumishi: info@shinyangadc.go.tz/ded@shinyangadc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki©2018. Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga. Haki zote zimehifadhiwa