• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Shinyanga District Council
Shinyanga District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Maendeleo, Ustawi wa Jamii na Vijana
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maji
      • Mipango, Ufuatiliaji na Takwimu
      • Afya
      • Usafi na Manzingira
      • Fedha na Biashara
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Land and Natural Resources
    • Vitengo
      • Teknolojia, Habari, Mawasiliano na uhusiano
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Sheria
      • Nyuki na Misitu
      • Uchaguzi
      • Manunuzi na Ugavi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Viwanda
    • Madini
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Kamati ya Fedha na Mipango
      • Kamati ya Masuala ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Elimu , Afya na Maji
    • Ratiba ya Vikao vya Kisheria
      • Kuonana na Mwenyekiti
    • Ratiba ya kuonana na Mwenyekiti
    • Madiwani wa Kuchaguliwa
    • Madiwani wa Kuteuliwa
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Fomu
    • Majarida
    • Mpango Mkakati
  • Kituo cha Habari
    • Kanzi Data ya Picha
    • Hotuba
    • Habari
    • Video

Waziri Jafo asifia ujenzi Hospitali ya Wilaya Shinyanga

Posted on: December 7th, 2019

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Selemani Jafo ameipongeza Serikali ya Mkoa wa Shinyanga kwa usimamizi mzuri wa ujenzi wa Hospitali ya Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga inayojengwa katika Tarafa ya Nindo, kata ya Iselamagazi, Mkoani hapa. 

Mhe. Jafo ametoa pongezi hizo mapema leo tarehe 07/12/2019 na kusema kuwa, amefurahishwa hasa na hatua ya ujenzi ilipofikia pamoja na mfumo wa uvunaji wa maji ya mvua uliowekwa.

"Nakupongeza sana Mhe. Mkuu wa Mkoa na timu yako yote kwa usimamizi mzuri lakini niwapongeze na wananchi kwa kutoa eneo na kukubali Hospitali hii ijengwe hapa. Mazingira yanafurahisha kwa sababu hapakuwa hivi kabla, nimeridhika na muonekano tangu nilipokuwa nakuja" amesema Mhe. Jafo.

Jafo amesema kuwa, pamoja na shilingi bilioni 1.5 zilizotolewa hapo awali kwa ajili ya kukamilisha majengo 8, Serikali itaongeza tena sh. milioni 500 hivi karibuni ili kuongeza majengo mengine.

"Tuliamua kwamba, fedha hii isije tulisubiri majengo ya kwanza yakamilike ili inapokuja awamu ya pili ifanye kazi ya kuongeza majengo mengine" amesisitiza Mhe. Jafo na kuzitaka Halmashauri nyingine waige mfano wa Halmashauri hiyo. 

Awali akitoa taarifa ya ujenzi kwa niaba ya Mganga Mkuu wa Wilaya , Bw. Bashir Salum amesema majengo nane yamekamilika kwa shilingi Bil. 1.5 ambayo ni jengo la Utawala, Wodi ya akina mama, Maabara, Chumba cha Dawa, Chumba cha chanjo, Jengo la kufulia, Jengo la X - Ray na Jengo la kutunzia maiti.

Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Zainab Telack amemshukuru Mhe. Jafo kwa kutembelea Mkoa na kumuomba afanye ziara tena ili aone baadhi ya miradi ambayo imekamilika kwa kutumia mafundi wenyeji ikiwemo vituo vya Afya na Ofisi za Tarafa.

Matangazo

  • UPANGISHAJI WA MAJENGO YA OFISI NA NYUMBA ZA HALMASHAURI YA WILAYA YA SHINYANGA ZILIZOPO MANISPAA YA SHINYANGA July 02, 2020
  • Nafasi za Kazi za Mkataba January 25, 2019
  • Katazo la matumizi ya mifuko ya plastiki May 25, 2019
  • Nafasi za Kazi za Mtendaji wa Kijiji na Dereva January 25, 2019
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Hati Miliki 190 Zatolewa Kata ya Tinde na ILola kwenye Kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Ukimwi Duniani Katika Halmashauri ya Wilaya ya Shiyanga

    November 27, 2020
  • Mkuu wa Wilaya, Mkurugezi wa Halmashauri waongoza shughuli ya Upandaji Miti katika Vijiji vya Kasingili, Nyambui na Ihalo

    November 27, 2020
  • Shirika la AGAPE ACP Lagharamia mradi wa Shs. Million tisa (9) kusaidia mapambano dhidi ya Corona Shnyanga DC

    May 20, 2020
  • Madiwani wafurahishwa na kubariki Mradi wa Urasimishaji wa Makazi unaotekelezwa na Shidepha+ Katika Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga kwa Ufadhili wa SELAVIP kutoka Belgium.

    February 12, 2020
  • Tazama zote

Video

wiki ya maji
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Dira na Dhamira
  • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
  • Muundo wa Taasisi
  • Video mbali mbali
  • Historia
  • Fomu ya Likizo
  • Leseni ya Makazi
  • Fomu ya Mkazi wa Ardhi kulipwa fidia

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tamisemi
  • ofisi ya taifa ya takwimu (NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana nasi

    NIndo - Iselamagazi

    Anuani ya posta: 113 Shinyanga

    Simu: 0282-986382

    Simu: 0282-986382

    Baruapepe za watumishi: info@shinyangadc.go.tz/ded@shinyangadc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hakimiliki©2018. Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga. Haki zote zimehifadhiwa