IDARA YA MAENDELEO YA JAMII NA VIJANA
1.0 UTANGULIZI
Msingi wa maendeleo ya jamii ni kuwawezesha jamii (Wananchi) kuwa na mtazamo wa mawazo chanya ya kuwawezesha kutumia rasilimali walizonazo za ndani na nje ili waweze kujiletea maendeleo yao wenyewe.
Idara ina kazi kubwa ya kuwawezesha wananchi kubaini matatizo na kupata ufumbuzi kwa kutumia fursa walizonazo na za kutoka nje kwa shughuli za maendeleo ili kujiletea maisha bora .
Hivyo idara hujikita kushirikishi jamii kuwa na mwitikio wa kushiriki na kuchangia shughuli za maendeleo.
Idara ya Maendeleo ya Jamii ina sehemu zifuatazo:
KAZI YA IDARA
KIKUNDI CHA KINA MAMA (NAFAKA) MISUNGWI -LYABUKANDE
Mwanza Road
Anuani ya posta: 113
Simu: 028-2762251
Simu: 028-2762259
Baruapepe za watumishi: info@shinyangadc.go.tz/ded@shinyangadc.go.tz
Hakimiliki©2018. Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga. Haki zote zimehifadhiwa