• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Government Web Framework
Government Web Framework

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mwongozo wa Tovuti za Serikali

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Maendeleo, Ustawi wa Jamii na Vijana
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maji
      • Mipango, Ufuatiliaji na Takwimu
      • Afya
      • Usafi na Manzingira
      • Fedha na Biashara
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Land and Natural Resources
    • Vitengo
      • Teknolojia, Habari, Mawasiliano na uhusiano
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Sheria
      • Nyuki na Misitu
      • Uchaguzi
      • Manunuzi na Ugavi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Viwanda
    • Madini
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Kamati ya Fedha na Mipango
      • Kamati ya Masuala ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Elimu , Afya na Maji
    • Ratiba ya Vikao vya Kisheria
      • Kuonana na Mwenyekiti
    • Ratiba ya kuonana na Mwenyekiti
    • Madiwani wa Kuchaguliwa
    • Madiwani wa Kuteuliwa
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Fomu
    • Majarida
    • Mpango Mkakati
  • Kituo cha Habari
    • Kanzi Data ya Picha
    • Hotuba
    • Habari
    • Video

ELIMU MSINGI

Idara hii ina lengo la kusaidia au kuwezesha utoaji huduma na uendelezaji wa Elimu ikijumuisha usimamizi wa elimu ya awali, msingi, na  elimu ya watu wazima na inayotolewa katika njia isiyo rasmi; na mitihani ya shule za msingi,  Seksheni hii inaongozwa na Katibu  Afisa Elimu wa Wilaya, ambaye anawajibika kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Wilaya. 


Majukumu ya Idara ya Huduma za Elimu 

•Kuratibu uongozi wa shule za awali, Msingi, na  elimu ya watu wazima na Elimu rasmi 

•Kuratibu ajira na usambazaji wa walimu wa shule za awali, na  msingi  katika Wilaya. 

•Kuratibu utekelezaji wa sera za Elimu na mafunzo ya ufundi ndani ya Wilaya  na kutoa Ushauri kadiri inavyohitajika. 

•Kusimamia mitihani ya shule za msingi  katika Wilaya. 

•Kuratibu ukusanyaji, tathimini, uunganishaji/uandaaji, kutafsiri na kutoa taarifa/takwimu za elimu na mafunzo ya ufundi katika Wilaya.

•Kufanya ufuatiliaji wa utekelezaji wa taarifa za ukaguzi. 

•Kuratibu shughuli zinazohusiana na michezo katika Wilaya  na kuendesha mashindano ya UMITASHUMTA na UMISETA Wilayani.

TAARIFA YA MPANGO WA UTEKELEZAJI WA IDARA YA ELIMU MSINGI, 2016/2017

Shughuli

Malengo

 

Mpango wa utekelezaji

Utekelezaji

Maelezo/maoni

Kuboresha mazingira ya kujifunzia
Kuongeza Idadi ya shule za msingi zenye madarasa ya Elimu ya Awali kuongezeka
Kuongeza madarasa ya Elimu ya Awali kutoka madarasa 66
Madarasa 3 ya awali yamejengwa katika shule za msingi Didia, Mhangu A.
Watoto wote wenye umri wa miaka 5 hadi 6 kuanza Elimu ya Awali katika mazingira mazuri
Kujenga matundu ya vyoo kwa ajili ya wanafunzi wa madarasa ya awali ili wasiingiliane na wale wa shule za msingi.
Kuongeza matundu ya vyoo kutoka matundu.
Matundu ya vyoo 21 yamejenga, S/Msingi Kilimawe (11) na Masekelo (matundu 10)
Ufinyu wa fedha za utekelezaji mpango huu unakwamisha ujenzi wa vyoo vinavyohitajika.
Utengenezaji wa madawati.
Kutengeneza madawati 24,614 ili kutosheleza mahitaji.
Madawati 14,053 yametengenezwa na kununuliwa.
Utengenezaji unaendelea kuhakikisha kila mwanafunzi anakaa kwenye dawati.
Kuwepo na vifaa vya kufundishia na kujifunzia
Kununua na kusambaza vifaa vya kufundishia na kujifunzia katika shule zote 129
Kununua vifaa vya kufundishia na kujifunzia ili kufikia uwiano unaotakiwa na Wizara kwa 1:1 kwa wanafunzi wote kupitia ruzuku ya Capitation na Development
Kila shule imenunua vifaa vya kufundishia na kujifunzia.
Ununuzi wa vifaa vya kufundishia unaendelea kadri upatikanaji wa fedha toka Serikalini.
Michezo ya UMITASHUMTA
Kuimarisha afya za wanafunzi na kukuza vipaji vyao.
Kuendesha mashindano ya UMITASHUMTA kuanzia ngazi ya Shule hadi Taifa
Wanafunzi wa shule za Msingi 129 kushiriki mashindano ya UMITASHUMTA
Michezo ilifanyika mwisho ngazi ya Kitarafa baada ya Mh. Rais kusitisha ngazi nyingine
Kuendesha mitihani ya MOCK kwa darasa VII na Mitihani ya Taifa kwa darasa la IV na VII.
Kuboresha taaluma ya wanafunzi
Kuendesha mitihani ya Mock mkoa na wilaya kwa darasa la VII na mitihani ya Taifa ya darasa la IV&VII. 2016
Mitihani ya Mock Mkoa na Wilaya kwa darasa la VII na mitihani ya Taifa ya darasa la IV&VII. 2016 kufanyika kwa umakini mkubwa.
. Ufaulu kuongezeka toka 61% kwa mwaka 2015 hadi 67% mwaka 2016.
Kuendesha zoezi la ukusanyaji wa takwimu za Elimu ya awali na msingi.
Kuwa na takwimu sahihi za Wilaya.
Kuendesha zoezi la ukusanyaji wa Takwimu za Elimu ya Awali na Msingi
Zoezi la ukusanyaji wa Takwimu za wanafunzi, miundombinu na samani za Elimu ya Awali,Msingi na lilifanyika kwa wakati.
Takwimu zilikusanywa na kupata jumla ya wanafunzi Awali hadi std VII - 2016 wapatao 73,841.
Kufanya ufuatiliaji katika shule msingi
Kuangalia na kuhimiza utendaji kazi wa walimu.
Kufanya ufuatiliaji wa shule zote msingi 129
Kufuatilia utoaji wa taaluma na Baadhi ya shule zilizokuwa na mambo yote ya kiutawala ,ili kuinua taaluma .
Baadhi ya Shule zilizofanyiwa ufuatiliaji na zilizoonekana kutofanya vizuri kitaaluma zilipewa onyo na kuhimizwa kufanya kazi kwa bidii.

Shughuli za Mradi wa Equip Tz.

Kuboresha elimu ya msingi
Mafunzo ya KKK module 1-13
Walimu Wakuu, SBIC, na Waratibu Elimu Kata na DITs walipata Ruzuku.
Mafunzo yametolewa kwa walengwa.
Mafunzo ya WWJ 2016 Awamu I na II
Walimu wasaidizi wa jamii kutoka kata 27 walipata mafunzo
Mafunzo yametolewa
Ruzuku kwa Waratibu Elimu Kata
Waratibu elimu kata wote walipata mafunzo
Waratibu Elimu Kata wamepata Ruzuku yao.
Mafunzo ya Uongozi na Utawala wa Shule
Walimu Wakuu Wasaidizi, Walimu Wakuu na Waratibu Elimu Kata, TOTs walipata mafunzo
Viongozi wamejengewa uwezo wa masuala ya uongozi.
Early Grade Mathematics (EGM) Moduli 1 - 4
Walimu Wakuu, SBIC,na Waratibu Elimu Kata walipata mafunzo hayo
Walimu wamepata mbinu mpya za ufundishaji wa somo la Hisabati.
Mafunzo SIS – kuhusu Matumizi ya vishikwambi na mfumo wa takwimu za shule.
Walimu wakuu
Waratibu elimu kata walipata mafunzo
Walimu wakuu wa Waratibu elimu kata wanaendelea kuingiza taarifa kwenye mfumo.
Mafunzo ya kuanzisha klabu za JUU za shule.
Waratibu Elimu kata, Afisa Maendeleo ya Jamii kata Walimu Wakuu, Mratibu wa UWW, Walimu walezi na mjumbe 1 wa kamati ya shule walipata mafunzo shule zimebuni miradi ya kuongeza kipato cha shule
Uhamasishaji unaendelea
Mafunzo ya kubuni na kuanzisha miradi (IGA)
Waratibu Elimu kata na walimu wakuu walipata mafunzo
Shule zimebuni miradi ya kuongeza kipato.

 

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI April 09, 2024
  • MATOKEO YA USAILI WA KUANDIKA ( MCHUJO) KADA YA DEREVA DARAJA LA II April 15, 2024
  • MATOKEO YA USAILI WA KUANDIKA KADA YA MTENDAJI WA KIJIJI DARAJA LA TATU April 17, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI April 19, 2024
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • MITI 1000 YAPANDWA KATA YA SALAWE KATIKA MAADHIMISHO YA MIAKA 63 YA UHURU.

    December 09, 2024
  • BABA BORA, SAUTI YA UMMA NA WANAWAKE VIONGOZI WAPATIWA VITENDEA KAZI

    November 15, 2024
  • WANADIDIA WAOMBWA KUJITOKEZA KWA WINGI NOVEMBA 27, KUPIGA KURA

    November 15, 2024
  • MASHINE YA X-RAY MBIONI KUFIKA KITUO CHA AFYA TINDE

    November 15, 2024
  • Tazama zote

Video

wiki ya maji
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Dira na Dhamira
  • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
  • Muundo wa Taasisi
  • Muundo wa Taasisi
  • Video mbali mbali
  • Historia
  • Fomu ya Likizo
  • Leseni ya Makazi
  • Fomu ya Mkazi wa Ardhi kulipwa fidia

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • Tamisemi
  • ofisi ya taifa ya takwimu (NBS)
  • Idara ya Habari Maelezo
  • Tovuti kuu ya Serikali

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Government Web Framework

Wasiliana nasi

    NIndo - Iselamagazi

    Anuani ya posta: 113 Shinyanga

    Simu: 0282-986382

    Simu: 0282-986382

    Baruapepe za watumishi: info@shinyangadc.go.tz/ded@shinyangadc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2016 GWF . All rights reserved.