TANGAZO
MKURUGENZI MTENDAJI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA SHINYANGA ANAWATANGAZIA WANANCHI WOTE KUWA, KWA SASA TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI INATUMIA MTANDAO (INTERNET) KATIKA UTOAJI WA TAARIFA ZAKE KWA LENGO LA KUTOA ELIMU KWA MPIGA KURA NCHI NZIMA. TAARIFA HIZO NI PAMOJA NA:- TARATIBU ZA UCHAGUZI NA HATUA ZOTE ZA MCHAKATO WA UANDIKISHAJI WAPIGA KURA; UANZISHWAJI WA MAJIMBO YA UCHAGUZI; UTEUZI WA WAGOMBEA; KAMPENI ZA UCHAGUZI; UPIGAJI WA KURA; KUHESABU NA KUJUMLISHA HESABU ZA KURA NA KUTANGAZA MATOKEO. HIVYO, ILI KUPATA TAARIFA HIZO TUMIA NJIA ZIFUATAZO:-
Tovuti ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi-www.nec.go.tz
Mwanza Road
Anuani ya posta: 113
Simu: 028-2762251
Simu: 028-2762259
Baruapepe za watumishi: info@shinyangadc.go.tz/ded@shinyangadc.go.tz
Hakimiliki©2018. Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga. Haki zote zimehifadhiwa